Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi

Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi

Hii kitu ni noma!
wall.jpg
 
Hivi mbunge akiitwa kuripoti Polisi atakimbia?

Halafu bado kuna mtu anadhani watu watakuwa na imani na cops?

Mimi binafsi ningekuwa Polisi ni majambazi tu ndio ningekuwa nayakamata kwa ambush, watu wengine ni wakuandikiwa tu wito wa kuitwa polisi au kiwaita kwa simu na wanajisalimisha wenyewe.

Waziri Mwigulu Nchemba amewataka wauwaji waliouwa Polisi wetu wanne wajisalimishe, sasa napata shida kidogo kwa mbunge kutopewa fursa hiyo ya kujisalimisha.

Polisi maboresho: msitishe raia wema wanaotumia social network bali someni michango ya raia wema humu itawasaidia sana kuwa na jeshi la Polisi la kisasa ambalo litakuwa ni PT Pride.

Kama maguvu yanalipa basi sehemu ya kwanza kufanikiwa ingekuwa ni Israel na Palestine conflict.
 
Bado mnasubiri viwanda kwa viongozi wetu hawa?
 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Askari Polisi walivamia nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema alfajiri ya leo na kumkamata.
Hivi sasa yupo central police ya Arusha.

Sababu za kukamatwa kwake haijajulikana bado....

Tutawajuza kila kitakachokuwa kinajiri
Atakuwa kahusika. Maana inaonekana chadema wamehusika ktk kutafuta sare ili askari wao fake waue waandamanaji na baadaye wapige picha na kuipelekea ile NGO yao ya haki zabinaadam
 
kisha unashangaa ukiambiwa hawana mahusiano mazuri na raia..
 
Hivi mbunge akiitwa kuripoti Polisi atakimbia?

Halafu bado kuna mtu anadhani watu watakuwa na imani na cops?

Mimi binafsi ningekuwa Polisi ni majambazi tu ndio ningekuwa nayakamata kwa ambush, watu wengine ni wakuandikiwa tu wito wa kuitwa polisi au kiwaita kwa simu na wanajisalimisha wenyewe.

Waziri Mwigulu Nchemba amewataka wauwaji waliouwa Polisi wetu wanne wajisalimishe, sasa napata shida kidogo kwa mbunge kutopewa fursa hiyo ya kujisalimisha.

Polisi maboresho: msitishe raia wema wanaotumia social network bali someni michango ya raia wema humu itawasaidia sana kuwa na jeshi la Polisi la kisasa ambalo litakuwa ni PT Pride.

Kama maguvu yanalipa basi sehemu ya kwanza kufanikiwa ingekuwa ni Israel na Palestine conflict.
Hadi hapo ccm itakapo waachia akili zao! Ndiyo watafikiria nje ya box, halafu polis wanatumika kisiasa ndiyo maana ufanisi wa hili jeshi letu la polis utendaji ni ziro!
 
Naona serikali inazidi kutia kachumbari ktk pilau la sept mos, tujazeni tu sumu vizuri tupate morali
 
Ukitaka kumteka adui kwanza mnyang'anye mawasiliano![emoji86] [emoji86]
 
Back
Top Bottom