Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi

Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi

Hii kitu ni zaidi ya zege
Hii kitu ni noma!
wall.jpg
 
Magamba ni mashetani, tuyakatae na kuyachukia kwa nguvu zote...wapumbavu wa kubwa.

Swissyou
 
Watanzania wanajutia maamuzi ya Uchaguzi mkuu 2015
Hawajutii kwasababu hawakuchagua magamba, isipokuwa magamba yaliiba kura, ndio maana wanakataza mikutano ya siasa kwa Hofu ya kushindwa chaguzi zijazo.


Swissyou
 
Huna lolote!Kwa nyinyi bado hamjawa size ya serikali.Km hutaki anzisha hako ka-uchwara kako uone!

kabla ya mechi wewe unakamata mastrika na mabeki unategemea nani apeleke timu uwanjani bila mapro nyie chukueni ushindi wa mezani
 
Lema alipotangaza bungeni anammis JK nilimuelewa..katika awamu ambayo haitafanya chochote cha maana itakuwa ni hii
 
Kama upelelezi ulikuwa bado kulikuwa na umuhimu wa kumkamata? Yule si mbunge mwenye address inayoeleweka? Mmh! Uko umuhimu wa kumuomba Mungu ashuke mwenyewe kwa ajili ya tanzania
 
"Unaweza ukawafumba watu midomo wasiongee, lakini huwezi funga mioyo ya watu kuamini kile wanachoamini"
 
Heheheh wanajuwa wanachokifanya why wamemkamata weekend??ili asiweze kujipanga kwa lolote weekend kabla ya UKUTA enheee??again ndio maana siwapendi Police haya njooni mnikamate na mimi basi....
 
LEMA kutoka ni baada ya septemba mosi. viongozi wengine wa chadema wajiandae maana watakamatwa muda si mrefu...lengo wawe ndani siku ya septemba mosi...
 
Huu ni mwangwi mkali wa matokeo ya uchaguzi wa 2015 ambao kura za wananchi waliporwa kura zao. Chama tawala kinakumbana na uhalisia kwamba hakikubaliki nje na ndani ya chama hicho, rais anajua kabisa kwamba yuko pale bila ridhaa ya wananchi.
Operesheni UKUTA inaungwa mkono na kila mtu rika lote, Rais anahaha kuzuia jambo hilo, lakini hii ni sawa na kuzuia mafuriko kwa mkono.
Matokeo ya kupata ushindi kwa bao la mkono ndo haya, hakuna atakayebaki salama....
 
LEMA kutoka ni baada ya septemba mosi. viongozi wengine wa chadema wajiandae maana watakamatwa muda si mrefu...lengo wawe ndani siku ya septemba mosi...

Nkongu Ndasu, unafikiri hili inalofanya serikali ni suluhisho?

Binafsi sidhani kama ndivyo zaidi ya kwamba wanachochea kuni moto.

Well, wanaweza kuwaweka ndani pengine nia yao ili ifikapo tarehe 1/9/2016 wote wawe ndani kwa maana asiwepo wa kutoa maelekezo

Lakini mwisho wake utakuwa ni nini eti? Si watatoka na mwisho wa siku inatangazwa siku nyingine ya UKUTA na pengine this time wakiwa well prepared??

Sisi ni binadamu bwana. Na always binadamu anatafuta solution ya kila kikwazo kilichoko mbele yake!

Na always, mlango huu unapofungwa, basi lazima huwa kuna mwingine unafunguliwa.

Na habari njema ni kuwa, kwa serikali hii dhalimu ya CCM na
Magufuli, iko "blinded & deafed" haioni, haisikii na hainusi na kamwe haina cha kudhibiti and it is fighting in its own na itashindwa na kuanguka kwa kishindo kikubwa sana kuliko akili zetu hizi zinavyoona na kufikiri!!
 
Kibongobongo ni kawaida tu kwa wapinzani kukamatwa sio Jambo la kushangaza kwanza kesha zoea Ye chalii wa arusha atahojiwa,atapewa dhamana maisha yataendelea.
 
Napolian kakamatwa. Ngoja strength zionekane huko mahabusu
 
Back
Top Bottom