MaCCM waongo sana, wanabumba mambo na kujikosha tu.3.5 tilon kwa vijan wangapi?
Mbunge wa Jimbo la Makete, akichangia katika Bunge la 13, Mkutano wa Pili, Kikao cha 6, ameeleza kuwepo kwa mifuko ya vijana katika wizara mbalimbali licha ya kuwepo kwa Wizara rasmi ya Vijana. Amesema kuna zaidi ya mifuko 70 katika wizara tofauti inayopokea fedha kwa ajili ya vijana.
Amesisitiza umuhimu wa kuwepo kwa mfuko mmoja wa vijana ili kurahisisha ufuatiliaji wa matumizi ya fedha hizo, akibainisha kuwa ripoti zinaonyesha serikali imekopesha zaidi ya Shilingi trilioni 3.5 kupitia mifuko hiyo, lakini bado vijana wanalalamikia ukosefu wa ajira.
Hizi script za ccm za kutafuta kiki TUMbunge wa Jimbo la Makete, akichangia katika Bunge la 13, Mkutano wa Pili, Kikao cha 6, ameeleza kuwepo kwa mifuko ya vijana katika wizara mbalimbali licha ya kuwepo kwa Wizara rasmi ya Vijana. Amesema kuna zaidi ya mifuko 70 katika wizara tofauti inayopokea fedha kwa ajili ya vijana.
Amesisitiza umuhimu wa kuwepo kwa mfuko mmoja wa vijana ili kurahisisha ufuatiliaji wa matumizi ya fedha hizo, akibainisha kuwa ripoti zinaonyesha serikali imekopesha zaidi ya Shilingi trilioni 3.5 kupitia mifuko hiyo, lakini bado vijana wanalalamikia ukosefu wa ajira.
Walichukua vijana wa CCM kama zawadi.Mbunge wa Jimbo la Makete, akichangia katika Bunge la 13, Mkutano wa Pili, Kikao cha 6, ameeleza kuwepo kwa mifuko ya vijana katika wizara mbalimbali licha ya kuwepo kwa Wizara rasmi ya Vijana. Amesema kuna zaidi ya mifuko 70 katika wizara tofauti inayopokea fedha kwa ajili ya vijana.
Amesisitiza umuhimu wa kuwepo kwa mfuko mmoja wa vijana ili kurahisisha ufuatiliaji wa matumizi ya fedha hizo, akibainisha kuwa ripoti zinaonyesha serikali imekopesha zaidi ya Shilingi trilioni 3.5 kupitia mifuko hiyo, lakini bado vijana wanalalamikia ukosefu wa ajira.
ππππππHela za vijana wanajikopesha wazee Nchi ngumu sana..
Na watendaji wa kata na mitaa/vijiji. Ndio wanaokula hela hizo.Ukifatilia ripoti zinazotoka serikali unaweza ukasema mambo ni mazuri kumbe ukija field ni tofauti....Usikute Mkurugenzi ameeandaa vikundi hewa vya vijana wakapiga mabilioni.
Nina uhakika kwamba 10% kwa vijana haziendi kwa vijana ,hizo pesa wanakula madiwani na Ma DED.
Wanakula mafisangoMbunge wa Jimbo la Makete, akichangia katika Bunge la 13, Mkutano wa Pili, Kikao cha 6, ameeleza kuwepo kwa mifuko ya vijana katika wizara mbalimbali licha ya kuwepo kwa Wizara rasmi ya Vijana. Amesema kuna zaidi ya mifuko 70 katika wizara tofauti inayopokea fedha kwa ajili ya vijana.
Amesisitiza umuhimu wa kuwepo kwa mfuko mmoja wa vijana ili kurahisisha ufuatiliaji wa matumizi ya fedha hizo, akibainisha kuwa ripoti zinaonyesha serikali imekopesha zaidi ya Shilingi trilioni 3.5 kupitia mifuko hiyo, lakini bado vijana wanalalamikia ukosefu wa ajira.
Yap ,walio kwenye chain ya kuwasajili vijana ndiyo wanaopiga hizo pesa kwa kuaandaa vikundi vyao hewa ,serikali inajua imewapa pesa vijana na kuandaa pesa kumbe imeenda kwa WAHUNI wachache.Na watendaji wa kata na mitaa/vijiji. Ndio wanaokula hela hizo.
Ziko wapi? Zimetumika kufanyia anasa umalaya na mengineyo ...hazijafika kwa vijana.Huyo mbunge ameongea point sana
Natamani ushauri wake uchukulkiwe mara moja; hela zote za vijana ziende Wizara ya vijana.
Kama kweli 3.5trillion zimetolewa, inaonekana kuna hela nyingi hazijafikia walengwa; ziko wapi?
Nawewe unaamini kuwa ni kweli kabisaHuyo mbunge ameongea point sana
Natamani ushauri wake uchukulkiwe mara moja; hela zote za vijana ziende Wizara ya vijana.
Kama kweli 3.5trillion zimetolewa, inaonekana kuna hela nyingi hazijafikia walengwa; ziko wapi?