Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,228
- 128,994
Hiki ni kichwa hazina kubwa haina mfano!.Heshima kwenu
nimekuwa nikifuatlia mikutano ya bunge hasa Wizara ya Madini na Fedha join hii, nimegundua kuwa mhe Mwijage nae ni miongoni mwa Tunu za Taifa...Mara zote michango yake inalenga kuboresha mambo akijitofautisha na wanafiki wengine
Jioni ya leo katika finance bill ameeleza namna ambayo Waziri Mkuya anaelekea kutupeleka kwenye economic crisis soon kwenye issue ya uagizaji mafuta
mhe mbunge ubarikiwe sana
Pasco