Heshima kwenu
nimekuwa nikifuatlia mikutano ya bunge hasa Wizara ya Madini na Fedha join hii, nimegundua kuwa mhe Mwijage nae ni miongoni mwa Tunu za Taifa...Mara zote michango yake inalenga kuboresha mambo akijitofautisha na wanafiki wengine
Jioni ya leo katika finance bill ameeleza namna ambayo Waziri Mkuya anaelekea kutupeleka kwenye economic crisis soon kwenye issue ya uagizaji mafuta
mhe mbunge ubarikiwe sana
Watanzania mna matatizo gani,mmejawa na negativities sana na if you don't change there is nothing out of it,kumbuka we are all mortals and we highly differ from Angels ..hatutaweza kumpata malaika aje kuwa waziri Tz