Mzee K,
Hapa hatudanganyani, hayo magazeti unayoyasema ndiyo yametufanya tuwe hapa baada ya kununuliwa na mtandao, unajua sometimes kama huna hoja ni vyema kunyamaza,
yaani una maana kwamba mwenyekiti wa chama cha Chadema, na mgombea urais mwaka 2005, na mbunge wa zamani wa bunge la taifa letu, anakuja kuingia kwenye kudanganyana?
Wanasema ukinyamaza kimya, huenda watu wakaamini una busara kuliko kutoa pumba, yaani mzee wangu bila kukuficha uliyosema hapo juu ndiyo hapa tunaita NONESENSE!