Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
Nauamini Sana Uongozi Wangu Wa Juu Wa Chadema, Naamini Hakuna Kitakacho Haribika
Umoja ni kitu muhimu sana wakati huu. Tumeuharibu wenyewe. Tukubali anguko kuu bila Dr. Slaa
Nauamini Sana Uongozi Wangu Wa Juu Wa Chadema, Naamini Hakuna Kitakacho Haribika
![]()
Teh! Tehe! Teheee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Bado nina tatizo na Dk Slaa unless ani-prove wrong. Huu sio wakati wa kufanya haya anayoyafanya otherwise naamini Dk Slaa anatumika na CCM kutudhoofisha. Sikubaliani nae kama kweli makelele yake jipindi kile yalikuwa kuitoa CCM madarakani leo nafasi inapatikana anaipa mgongo. Kipi kitanifanya nisiamini ni munafiki! He is so selfish this old man!
Wewe kama huumwi kule kwa Zainab Tamim unaendaga kufanya nini??
Mbona mbowe ni kama kachanganyikiwa kwanini slaa asiongee mwenyewe na vyombo vya habari?acha kudanganya nyerere alisema ukifanya Zambi haitakuacha Zambi ya kumtoa zitto kabwe eti msaliti hiyo ni zambi na ndo hayo ya slaa eti yupo likizo
Msitake kumshushia hadhi yake Dr Slaa aliyojijengea katika nchi na jamii kiujumla, leo hii eti Slaa akae meza moja na Lowassa mnadhani ye mroho wa madaraka? Niliahidi kura yangu kwa Slaa kwani naamin ndiye sahihi wa kututoa wa Tanzania tulipo sitaacha kupiga kura ntaweka box pembeni naandika Slaa naweka tiki. Lakin si kwa CCM wala fisadi Lowassa
kichwa cha habari, na uliyoandika ni tofauti..mbona mbowe hajasema slaa anapumzika
Akizungumza na Radio one mda huu saa 4, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) Freeman Mbowe, amesema Dr Slaa hawezi kuhama chama hicho na hafikirii kamwe, kwa sasa anapumzika kwa likizo ya wiki moja.
Alipoulizwa kuhusu Slaa kutokubaliana na ujio Wa Lowassa amejibu kila kitu tulikubaliana na Slaa mwenyewe aliunga mkono suala hilo.
Mbowe amesema wananchi na wanachadema kwa ujumla wasiwe na wasiwasi kwani hiki chama ni makini na hakiwezi fanya maamuzi bila maridhiano na akasisitiza kuwapuuza wanaoeneza habari kuwa Slaa amejiuzulu siasa.
Alipoulizwa mara ya mwisho kuwasiliana na Dr Slaa ni lini akajibu jana saa kumi na mbili jioni.
Alipoulizwa walizungumza nini akajibu anajua yeye na Slaa.
Walipomuuliza hasa mbona sisi tukimpigia hapatikani akajibu sijui lakini mimi nimewasiliana nae jana.
Chanzo: Radio one
Slaa amekatwa !!
Huyu anaumwa nini?mbona alienda kugonga kikombe cha utatu mtakatifu?teh teh