Akida MALCOLM X
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 497
- 464
Slaa yupo likizo vp na mnyika je?bado majibu yanatatizo.
Mnyika anauchaguzi Kibamba kura za maoni
Slaa yupo likizo vp na mnyika je?bado majibu yanatatizo.
Akizungumza na Radio one mda huu saa 4, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) Freeman Mbowe, amesema Dr Slaa hawezi kuhama chama hicho na hafikirii kamwe, kwa sasa anapumzika kwa likizo ya wiki moja.
Alipoulizwa kuhusu Slaa kutokubaliana na ujio Wa Lowassa amejibu kila kitu tulikubaliana na Slaa mwenyewe aliunga mkono suala hilo.
Mbowe amesema wananchi na wanachadema kwa ujumla wasiwe na wasiwasi kwani hiki chama ni makini na hakiwezi fanya maamuzi bila maridhiano na akasisitiza kuwapuuza wanaoeneza habari kuwa Slaa amejiuzulu siasa.
Alipoulizwa mara ya mwisho kuwasiliana na Dr Slaa ni lini akajibu jana saa kumi na mbili jioni.
Alipoulizwa walizungumza nini akajibu anajua yeye na Slaa.
Walipomuuliza hasa mbona sisi tukimpigia hapatikani akajibu sijui lakini mimi nimewasiliana nae jana.
Chanzo: Radio one
​Hivi huyu Slaa anachoshindwa kutoa neno tu na roho za watu zitulie shida ni nni???huu ni upuzi kwakweli
Humtaki wewe na nani?wamuondoe lowasa hatumtaki.
wamuondoe lowasa hatumtaki.
wamuondoe lowasa hatumtaki.
wamuondoe lowasa hatumtaki.
Akizungumza na Radio one mda huu saa 4, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) Freeman Mbowe, amesema Dr Slaa hawezi kuhama chama hicho na hafikirii kamwe, kwa sasa anapumzika kwa likizo ya wiki moja.
Alipoulizwa kuhusu Slaa kutokubaliana na ujio Wa Lowassa amejibu kila kitu tulikubaliana na Slaa mwenyewe aliunga mkono suala hilo.
Mbowe amesema wananchi na wanachadema kwa ujumla wasiwe na wasiwasi kwani hiki chama ni makini na hakiwezi fanya maamuzi bila maridhiano na akasisitiza kuwapuuza wanaoeneza habari kuwa Slaa amejiuzulu siasa.
Alipoulizwa mara ya mwisho kuwasiliana na Dr Slaa ni lini akajibu jana saa kumi na mbili jioni.
Alipoulizwa walizungumza nini akajibu anajua yeye na Slaa.
Walipomuuliza hasa mbona sisi tukimpigia hapatikani akajibu sijui lakini mimi nimewasiliana nae jana.
Chanzo: Radio one
Hili ndio linakuumiza kichwa? Vp tbccm kutorusha habari za ukawa? Magambaaaaaa....Afu chadema na viongozi wao wote lazima wapitie radio one why?