Mbowe: Slaa anapumzika, msiwe na hofu

Mbowe: Slaa anapumzika, msiwe na hofu

Mambo bado yamekuwa magumu kwa mh willbroad slaa; baada ya mwenyekiti wa chama - mbowe kumpatia likizo ya wiki moja toka ijumaa .

Ingawa kwa wajuzi wa mambo ni ilikupisha mchakato wa uraisi kutokana na kuwa na msimamo tofauti.

Hii kauli mbowe kairudia wakati akiojiwa na radio one; kuwa slaa yupo likizo ya wiki.
 

slaa aondolewa mchakato wa kumpata raisi wa chadema na ukawa


hapewa likizo ya wiki mojaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kupisha sekretariate impitishe lowassa

yeye ndo kizingiti

kapingwa suspension wiki moja
ccm bwana kichefu chefu
 
Wale wazee wa pollonium poleni sana Slaa kafichwa
 
Nahisi,ukimya WA dr slaa na Mnyika,no mpango mkakati wa kuvita hisia za umma
 
Kumekuwa na taarifa zisizoaminika kuwa mwanamageuzi kipenzi wa watanzania Dr.Slaa hajulikani alipo,hili limetutia shaka sana sisi wanamageuzi wenzie kwa kuona pengine anajaribiwa na shetani.
Tunakumbuka Mh.Dr.Slaa amewahi kugombea Urais 2010 na kwa mbinu chafu za adui ccm uliukosa Urais. Leo hii tumefanikiwa kupata mateka kadha toka kwa adui,hii ina maana wote kwa kushirikiana tunaweza kumshinda adui kwa kujua mbinu chafu anazozitumia.

Mh.Dr Slaa tunakuomba ujitokeze hadharani mbele ya watanzania uwahakikishi tuko pamoja katika kipindi hiki muhimu cha mustakabala wa taifa letu. Hii itatusaidia kuwa na nguvu na imani kubwa kwako kwamba hutarubuniwa na adui aliye mbele yetu na hivyo kuendelea kupata mateka wengi zaidi toka upande wa adui.
Mwisho, sisi wana Ukawa naomba tuendelee na mshikamano. Mbinu yoyote itakayofaa kumshinda ccm ni budi itumike ili ushindi wa kishindo upatikane.
 
kilichobaki ni mahaba tu ila siasa ndo hivyo kuna wakati zinakuwa ngumu na mtu kukumbana na wakati mgumu xana kimaamuzi wasiwaze kwa mnyika kwakuwa ndo kijana huo ndo ukomavu kisiasa ila slaa na baregu wajizuru kwani mimi ningefanya hivyo.
 
Hakuna kitu kama hicho, Tanzania hatutachaguwa mgonjwa.



dkmagupombe.jpg


Teh! Tehe! Teheee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Dr Slaa anamaarifa sana, magamba wajipange kung'oka.
 
acha uzuzu ndugu, ukimsikia dr slaa mwenyewe utaongeza nini?leo dr slaa amekuwa lulu ee? kwa taarifa yako chadema ilishaondoka kwenye levo ya kutegemea mwanasiasa mmoja mmoja ndio maana hata kigoma mjini cdm inaongoza mitaa mingi kuliko act ambao ni kwao.

Wew haujui kuwa hao wenyeviti/ madiwani wameshaa hamia ACT siku nyingi au haufuatilii hali ya mambo mambo yakoje
 
Nina hofu sana na dr slaa natamani angee yeye mwenyewe
 
Akizungumza na Radio one mda huu saa 4, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) Freeman Mbowe, amesema Dr Slaa hawezi kuhama chama hicho na hafikirii kamwe, kwa sasa anapumzika kwa likizo ya wiki moja.

Alipoulizwa kuhusu Slaa kutokubaliana na ujio Wa Lowassa amejibu kila kitu tulikubaliana na Slaa mwenyewe aliunga mkono suala hilo.

Mbowe amesema wananchi na wanachadema kwa ujumla wasiwe na wasiwasi kwani hiki chama ni makini na hakiwezi fanya maamuzi bila maridhiano na akasisitiza kuwapuuza wanaoeneza habari kuwa Slaa amejiuzulu siasa.

Alipoulizwa mara ya mwisho kuwasiliana na Dr Slaa ni lini akajibu jana saa kumi na mbili jioni.

Alipoulizwa walizungumza nini akajibu anajua yeye na Slaa.

Walipomuuliza hasa mbona sisi tukimpigia hapatikani akajibu sijui lakini mimi nimewasiliana nae jana.


Chanzo: Radio one

MBOWE kaanza kuwa msemaji wa Slaa toka lini? Mbowe huyu huyu alituambia hata alivyoulizwa kuhusu Lowassa kujiunga alisema haiwezekani hata kidogo...baadae akajiunga. Hatuamini na hili sababu za uongo wake!
 
Mbona mbowe ni kama kachanganyikiwa kwanini slaa asiongee mwenyewe na vyombo vya habari?acha kudanganya nyerere alisema ukifanya Zambi haitakuacha Zambi ya kumtoa zitto kabwe eti msaliti hiyo ni zambi na ndo hayo ya slaa eti yupo likizo
 
Back
Top Bottom