Mbowe: Slaa anapumzika, msiwe na hofu

Mbowe: Slaa anapumzika, msiwe na hofu

Tutasikia mengi lakini mwisho wa siku ukweli utajulikana.
 
mnajidanganya sana.Mambo hayapo sawa kabisa

kwanza we ndugu umekuwa cdm tangu lini?unashangaza sana na porojo zako hapa kutaka kutuaminisha kuwa chama ni mtu mmoja,kama dr slaa hakubaliani na uamuzi wa wengi basi ntaungana na wanaosema kuwa kashikiwa akili.kamati kuu ina wajumbe wangapi?je wangapi waliafiki na wangapi walipinga?ondoa ugamba wako hapa!
 
Duh hzi likizo zingine hazina hata miguu wala kichwa, likizo ktkt kati ya vita?? Mbowe hzo siasa kafanyie uchagani huku kwetu hapana..

Leo mnatumia maneno likizo kweli mmefilisika ki fikra
 
Kwa sasa Mbowe haaminiki, tunataka kumsikia dr slaa mwenyewe

acha uzuzu ndugu, ukimsikia dr slaa mwenyewe utaongeza nini?leo dr slaa amekuwa lulu ee? kwa taarifa yako chadema ilishaondoka kwenye levo ya kutegemea mwanasiasa mmoja mmoja ndio maana hata kigoma mjini cdm inaongoza mitaa mingi kuliko act ambao ni kwao.
 
Nyie watu wengine unashabiki umewaathiri sana, umeharibu hadi akili zenu, hata kusoma kwa makini ili uelewe kilichoandikwa unashindwa, unakurupuka tu na kusema hajasema anapumzika. Iruhusu akili yako ijitegemee

mkuu successor nilichogundua watu wengine humu ndani huwa wanasoma title tu huko ndani hawasomi.
 
Last edited by a moderator:
kamanda mboye na yeye amekosea.

Yani mtu ameharibu chama cha watu kwa kuwachukulia mtu wao. Waliochukuliwa mtu wakaona wasitake shari na wamwachie mboe aondoke na jembe lao na wao kuamua kujifariji na propaganda kuwa dr. Slaa anahama chadema.

Tumaini hili pekee la ccm kujifariji kuwa dr. Slaa anahama chadema, mboe kaja tena na kuliondoa na kuusema ukweli.

Mimi binafsi huu uonevu unaofanywa na kamanda mbowe siukubali na naupinga kabisa. Maana nimeshagundua nia ya kamanda mbowe ni kutaka kukiuwa kabisa chama cha mapinduzi. Na kwakuwa mm ni mkristo safi na ninaamiani kuwa kuuwa ni dhambi, basi sina budi kumpinga kamanda mbowe.

slaa aondolewa mchakato wa kumpata raisi wa chadema na ukawa


hapewa likizo ya wiki mojaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kupisha sekretariate impitishe lowassa

yeye ndo kizingiti

kapingwa suspension wiki moja
 
Akizungumza na redio one mda huu saa 4, mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema Freeman Mbowe, amesema Dr Slaa hawezi kuhama chama hicho na hafikirii kamwe.kwa sasa anapumzika kwa likizo ya wiki moja .

Alipo ulizwa kuhusu Slaa kutokubaliana na ujio Wa Lowassa amejibu kila kitu tulikubaliana na Slaa mwenyewe aliunga mkono suala hilo.

Mbowe amesema wananchi na wanachadema kwa ujumla wasiwe na wasiwasi kwani hiki chama ni makini na hakiwezi fanya maamuzi bila maridhiano na akasisitiza kuwapuuza wanaoeneza habari kuwa Slaa amejiuzulu siasa.

Alipo ulizwa mara ya mwisho kuwasiliana na Dr Slaa ni lini akajibu jana saa kumi na mbili jioni.
alipoulizwa walizungumza nini akajibu anajua yeye na Slaa.

walipo muuliza hasa mbona sisi tukimpigia hapatikani akajibu sijui lakini mimi nimewasiliana nae jana.

sourse.
Radio one,

Shost


slaa aondolewa mchakato wa kumpata raisi wa chadema na ukawa


hapewa likizo ya wiki mojaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kupisha sekretariate impitishe lowassa

yeye ndo kizingiti

kapingwa suspension wiki moja
 
Kwenye post yake Dr.Slaa amesema hataki mtu kumsemea, muda ukifika kama kuna ulazima ataitisha press conference na kuongea.

Na amesema mkome kutumia jina lake kwa namna yoyote Ile.

Hivyo naamini Mbowe anapiga siasa.
 
Bado nina tatizo na Dk Slaa unless ani-prove wrong. Huu sio wakati wa kufanya haya anayoyafanya otherwise naamini Dk Slaa anatumika na CCM kutudhoofisha. Sikubaliani nae kama kweli makelele yake jipindi kile yalikuwa kuitoa CCM madarakani leo nafasi inapatikana anaipa mgongo. Kipi kitanifanya nisiamini ni munafiki! He is so selfish this old man!
 
Hayo mapumziko yameanza lini?
Hiki si kipindi cha kupumzika.
 
Ndani ya siku 10 CHADEMA wameshatoa kauli zaidi ya tatu tofauti kuhusu Dr. Slaa. Mwanzo walisema wamegawana majukumu hivyo Dr Slaa yuko ofisini anaendelea na kazi. Baadaye ikaja kauli kwa mtindo wa tuhuma dhidi ya Mke wa Dr Slaa, Josephine kuwa ameshikilia mateka mumewe. Wakati huo huo 'wakereketwa' sana wa CHADEMA 'mpya' wamekuwa wanasisitiza kuwa Dr Slaa anaanda mkutano wa CC. Sasa inakuja kauli kwamba Dr Slaa anapumzika!

Watanzania walalahoi wamepotea maisha, na wengine wamepata vilema vya maisha wakitetea CHADEMA na misingi yake ya kukataa ufisadi. Leo hii vipande thelathini vimewafanya Mbowe na wakubwa wenziwe waamini kuwa wanaweza kuwageuza-geuza Watanzania wote kama chapati! Haiwezekani.

kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa watanzania walipoteza maisha kwaajili ya dr slaa au kukipigania chama?hii propaganda haitawasaidieni kabisa na matokeo yatakuja kinyume chake, inashangaza sana kuona masisiem yamegeuka ghafla na kuanza kumlilia mtu waliyemdhihaki.
 
Vipi kuhusu mnyika na baregu?hawakuuliziwa?
Pro Baregu hakuwepo nchini,nimekutana naye Jana Addis Ababa na tulikuja nae kwenye ndege moja kurudi Bongo,tulifika Bongo saa tisa Kasoro usiku wa leo
 
Binafsi nasubiri nisikie kauli toka kwa Dr. Slaa mwenyewe.
 
Back
Top Bottom