RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,761
hahahahahahhahahah ...
![]()
Teh! Tehe! Teheee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Akizungumza na Radio one mda huu saa 4, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) Freeman Mbowe, amesema Dr Slaa hawezi kuhama chama hicho na hafikirii kamwe, kwa sasa anapumzika kwa likizo ya wiki moja.
Alipoulizwa kuhusu Slaa kutokubaliana na ujio Wa Lowassa amejibu kila kitu tulikubaliana na Slaa mwenyewe aliunga mkono suala hilo.
Mbowe amesema wananchi na wanachadema kwa ujumla wasiwe na wasiwasi kwani hiki chama ni makini na hakiwezi fanya maamuzi bila maridhiano na akasisitiza kuwapuuza wanaoeneza habari kuwa Slaa amejiuzulu siasa.
Alipoulizwa mara ya mwisho kuwasiliana na Dr Slaa ni lini akajibu jana saa kumi na mbili jioni.
Alipoulizwa walizungumza nini akajibu anajua yeye na Slaa.
Walipomuuliza hasa mbona sisi tukimpigia hapatikani akajibu sijui lakini mimi nimewasiliana nae jana.
Chanzo: Radio one
hili nalo ni JIPU UCHUNGU. ni lazima lipasuliwe. Mbowe aliongea uongo kabisa wa kutunga kwa wananchi. hivi kweli Mbowe ulidhamiria kuchukua serikali kwa uongo huu. kwa sababu Dr Slaa mwenyewe alikanusha kabisa kwamba aliongea na Mbowe. na yeye alikuwa ameshaumua kubwaga manyanga muda mrefu hata Mbowe alikuwa anafahamu ila aliamua kuficha ili wanachama wasighafirike. ni hatari kwa kiongozi kama Mbowe. hafai. ndio maana chadema asilia tumemtaka ajipime na akae pembeni atuachie jahazi tuliongoze wenyewe
Hili la mbowe nalo ni jipu nimecheka sana leo siku yangu ilikuwa mbovu lakini angalau kwakucheka huku imekuwa nafuu yangu tena alisema katokea dirishani na treni haiwezi kumsubiriu
Akizungumza na Radio one mda huu saa 4, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) Freeman Mbowe, amesema Dr Slaa hawezi kuhama chama hicho na hafikirii kamwe, kwa sasa anapumzika kwa likizo ya wiki moja.
Alipoulizwa kuhusu Slaa kutokubaliana na ujio Wa Lowassa amejibu kila kitu tulikubaliana na Slaa mwenyewe aliunga mkono suala hilo.
Mbowe amesema wananchi na wanachadema kwa ujumla wasiwe na wasiwasi kwani hiki chama ni makini na hakiwezi fanya maamuzi bila maridhiano na akasisitiza kuwapuuza wanaoeneza habari kuwa Slaa amejiuzulu siasa.
Alipoulizwa mara ya mwisho kuwasiliana na Dr Slaa ni lini akajibu jana saa kumi na mbili jioni.
Alipoulizwa walizungumza nini akajibu anajua yeye na Slaa.
Walipomuuliza hasa mbona sisi tukimpigia hapatikani akajibu sijui lakini mimi nimewasiliana nae jana.
Chanzo: Radio one
mnajidanganya sana.Mambo hayapo sawa kabisa