Hakuna kitu kama hicho, Tanzania hatutachaguwa mgonjwa.
mnajidanganya sana.Mambo hayapo sawa kabisa
Mbona mbowe ni kama kachanganyikiwa kwanini slaa asiongee mwenyewe na vyombo vya habari?acha kudanganya nyerere alisema ukifanya Zambi haitakuacha Zambi ya kumtoa zitto kabwe eti msaliti hiyo ni zambi na ndo hayo ya slaa eti yupo likizo
huyu kwa sasa sijui aseme nini nimwamini maana ilishasema siasa ni kubadili gia angani...... "over my dead body cdm haiwezi kumpokea lowasa". sasa hata hiyo kauli yake yaweza kuwa ni yaleyale.
nasubiria dr slaa mwenyewe atoe kauli.
kwa sasa mbowe nitamwamini tu akisema mama yake mzazi ni mwanamke.
Hakuna kitu kama hicho, Tanzania hatutachaguwa mgonjwa.
Mbowe kwa uwongo kama Yericko
slaa awezi kukaa meza moja na fisadi lowassa. Plus wamenyang*anya tonge lake la urais