Mbowe: Slaa anapumzika, msiwe na hofu

Mbowe: Slaa anapumzika, msiwe na hofu

Last edited by a moderator:
Kwani mtikisiko aliouongea mwenyekiti ni halafu nkumbuke hawajajibiwa chochote lolote na upande wa pili halafu mtiwenye matunda ndo hurushiwa mawe tuwe na akili Tukumbuke enzi za NAC ilikuwaje halafu baadae makubaliano yaliishia wapi ninachoamini baada ya ichaguzi UKAWA ikidumu kwa miezi miwili tu tutegemee mabadiliko makubwa uchaguzi ujao. mawazo yangu binafc
 
acha uzuzu ndugu, ukimsikia dr slaa mwenyewe utaongeza nini?leo dr slaa amekuwa lulu ee? kwa taarifa yako chadema ilishaondoka kwenye levo ya kutegemea mwanasiasa mmoja mmoja ndio maana hata kigoma mjini cdm inaongoza mitaa mingi kuliko act ambao ni kwao.

Hii hapana unanidanganya...fatilia vizuri hotuba ya mbowe wakati anamkaribisha Lowasa nafikiri anamtegemea Lowasa kama mwanasiasa mmoja
 
Kuwa busara pia fikiri. Dr. Likizo yake ni siku 7 tu. Na hivyo vikao vinaanza baada ya siku 7 kwisha. Acha km we si gamba ni ndg yetu wanamageuzi usihofu utamuona Dr. Mapema kuanzia Jtatu (kesho).
 
Afu chadema na viongozi wao wote lazima wapitie radio one why?

afu TBC NA TVZ Wanarusha habar za CCM tu na c vyama vngne.. Kwanini?kama una jibu na hlo ndo jbu la kwanin nao wanaptia RADIO ONE
 
Tunachotaka ni umoja na maelewano na sio kuzungukana na kudhalilishana.
Mbowe ajue hilo,Tunataka kuiona UKAWA yenye umoja zaidi hususani ndani ya CHADEMA.
 
wanachokifanya chadema ni kutengeneza public attention kuhusu CHADEMA na mgombea wao. Mwaka huu tutaona mengi sana
 
CCM Hawawez Kutupangia Mgombea Tunaetaka, But Si Hawa Ccm Walkuja Na Saga Et Oh! Dr Mzinzi, Mara Oh! Dr Kazeeka, Mara Padre & Co,, Leo Amebadrika Nini? Ccm Bakn Na Yenu Ya Cdm Hamuyawez Mburula Nyie.
 
Du, mgombea wa chama chetu nimeshaanza kumsahau, ebu nikumbusheni anaitwa nani vile! Ya CHADEMA tuwaachie wanachadema wenyewe, sisi tuimarishe chama chetu

Sasa hivi Reporter number one wa CHADEMA ni Dada Lizabon.
CCM wamechanganyikiwa ni balaa.
 
Kwan huyu zile picha si alituambia za kutengenezwa…!! Mbona yamekuja yaleyale…???
 
Akizungumza na Radio one mda huu saa 4, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) Freeman Mbowe, amesema Dr Slaa hawezi kuhama chama hicho na hafikirii kamwe, kwa sasa anapumzika kwa likizo ya wiki moja.

Alipoulizwa kuhusu Slaa kutokubaliana na ujio Wa Lowassa amejibu kila kitu tulikubaliana na Slaa mwenyewe aliunga mkono suala hilo.

Mbowe amesema wananchi na wanachadema kwa ujumla wasiwe na wasiwasi kwani hiki chama ni makini na hakiwezi fanya maamuzi bila maridhiano na akasisitiza kuwapuuza wanaoeneza habari kuwa Slaa amejiuzulu siasa.

Alipoulizwa mara ya mwisho kuwasiliana na Dr Slaa ni lini akajibu jana saa kumi na mbili jioni.

Alipoulizwa walizungumza nini akajibu anajua yeye na Slaa.

Walipomuuliza hasa mbona sisi tukimpigia hapatikani akajibu sijui lakini mimi nimewasiliana nae jana.


Chanzo: Radio one

Ile post ya Dr. Slaa si ilikuwa inawaonya watu wasimsemee na kuwaambia wakome, sasa mbona wanamsemea tena?
 
To you the younger generation and leaders of tomorrow, I must tell you, that, Pioneers never live to see or enjoy fruits of their labor, they establish new trails so you can all safely pass through.

We are living in a new era. Era of "New World Economic Order" an era whereby where only the strong survive!

Even though my days have numbered, my struggle for equality between stronger and weaker nations will never stop. My struggle for fairness between nations will never stop. My Struggle for comparative Economic Advantage, and social justice will live on. My fight against corruption will never stop. I will never compromise these principles as long as I live.

I may never live to see my beautiful country enjoy its comparative economic advantage, but my children, my grandchildren and millions of young people in my country, fed-up with lifelong corruption, mismanagement and social injustice will. This is what, I m living for. I am living for Economic and social liberation

Well, this is what pioneers do!


Dr. Wilbrod Peter Slaa,
Keynote Adress: Purdue University,
April, 2015
 
Back
Top Bottom