Mbowe, na sisi pia tumekuchoka pumzika acha udikteta ndani ya chama

Mbowe anawaendesha, yaani kila mkilala mnafikiria Mbowe tu. Kweli huyu jamaa kamanda
 
Tindo ndo ninachokupendea unasemaga ukweli japo wakati fulani hua tunapingana kihoja. Kila ulichokiandika kina ukweli. Hawa wanaodhani Mbowe ni kinara nadhani wana matatizo. Mbowe kwasasa kapwaya kabisa. Tundu Lissu anaoneka mwenyekiti kulilo mbowe hata Heche.
 
Kiongozi hauta eleweka.
Wapenda mageuzi ya kweli, wapenda chama na sio watu wachumia tumbo au wa mlengo wa maslahi binafsi au watu wa udini au ukabila wanakuelewa sana hoja yako na ya technically .
 
hivi vyama vyetu vya afrika vinahubiri wasiyoyaamini. na wanaamini wasiyohubiri. demokrasia ya chadema ndo hiyo. unataka nini tena? utashangaa wapambe akina malisa na yericko walivyo kimya juu ya hilo
Hata ccm wanaamin kwenye ujamaa je tupo kwenye ujamaa
 
Kwa nin kinafanyiwa hujuma za wazizi huku bashiru akizunguka kufanya mikutano nchi nzima wao hata ya ndani hawarusiwi fikiri kabla ya kuongea
 
Kupishana kimitazamo kwenye baadhi ya hoja ndio afya ya mijadala.
 
Jinga kweli wewe, unafikiri huku Kuna wizi wa kura kama mnavyofanya nyie Inzi wa kijani? Au kukata majina ya wagombea bila utaratibu?

Kura za wajumbe zitaongea kwa sababu hakuna mtu aliyekatazwa kuchukua form.
 
Mshauri mwenyekiti wa chama chako aondoke, wewe si msemaji wa CHADEMA pambaffffff
 
Hakuna cha kuivusha cdm, siungi mkono kiongozi yoyote anayeutaka uenyekita wa cdm aliyetokea ccm, kama Cecil Mwambe au Sumaye, ila kuna watu madhubuti kama John Heche nk. ambao ucdm wao hatuna shaka nao.
Acha ufafa wewe nini maana ya democrasia? Wewe si mwanachama wa CDM, wanachama wa cdm wanachukua form na wengine wameshachukua tunasubiri kupiga kura kuamua nani awe mwenyekiti sio maneno, kura ndio zitaongea swine ww.
 
Jinga kweli wewe, unafikiri huku Kuna wizi wa kura kama mnavyofanya nyie Inzi wa kijani? Au kukata majina ya wagombea bila utaratibu?

Kura za wajumbe zitaongea kwa sababu hakuna mtu aliyekatazwa kuchukua form.
jibu hoja siyo matusi. Hiyo ndiyo tabia ya MATAGA na ninyi wafuasi uchwara wa UKAWA
 
Anataka kuwa kama vile Maalim Seif na CUF.😄
 
Kwa nin kinafanyiwa hujuma za wazizi huku bashiru akizunguka kufanya mikutano nchi nzima wao hata ya ndani hawarusiwi fikiri kabla ya kuongea
Sawa wanafanyiwa yote hayo, swali ni je, Mbowe kama chair anatumia mbinu gani kupambana?!..kama sio kulalamika na kulialia tu. Chama kinahitaji mbinu mpya la sivyo kitapungua umaarufu manake kama ni vizingiti inawekewa vingi sana
 
Ulitaka atumie mbinu gani kama anakosa support ya wananchi, dunian kote wakina mandela, ayatollah, ganthi, Martin luther, nyerere walikuwa na support ya wananchi

Bila support ya wananchi ni ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…