Mbowe, na sisi pia tumekuchoka pumzika acha udikteta ndani ya chama

Mimi ni mfuasi wa mageuzi ndani ya nchi hii ila niseme ukweli wa principle ya dictetor yeyote, watu wanaomzunguka huwa hawamwambii ukweli na uwa wanamkimbia pale maji yakiwa shingoni hivyo natoa ushauri sio tu kwa Mbowe.

Watu wote wenye mamlaka ya kiuongozi jaribuni kuwa mnatoka na kwenda kusikiliza Umma unataka nini juu ya uongozi wenu.

Ndicho kinachofanyika kwa Mbowe watu walio karibu yako wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ila ukweli wanaujua wewe umechoka hauna tena jipya ndani ya chama wao wanakushauri upuuzi ili waendelee kula ruzuku sasa subiri 2020 ruzuku ikipungua jinsi watakavyokubadilikia.

Mbowe Jiangalie ondoka kwa heshima kama kweli CHADEMA ni taasisi toka nenda mtaani sikiliza watu halisi wapenda mabadiliko ya kweli sio wapambe.
Kwa nchi kama tanzania huwa sio vizuri saana kubadilibadili viongoz wa vyama vya upinzani maana mamluki huweza kuchomekwa na ndio huwa mwisho wa vyama/chama hicho cha upinzani kumbukumbu zinaonyesha hivyo MWAMBE sina imani naye
 
Hiki ni kipindi chama kinamuhutaji sana mbowe kuliko mbowe anakihitaji chama
 
Ningefarijika sana kuona Mh.Lissu au Mh.Heche wamechukua fomu na mmoja wao kuwa Mwenyekiti,

Mh.Mbowe kafanya mengi ila nadhani ni muda sasa tupate mwenyekiti mpya na hamasa itaongezeka.
Kwa aina ya uongozi wa awamu ya tano upinzani nao unakiwa uwe na mtu mwenye akili nyingi na jeuri kidogo mbowe hekima na upole wake kwa magu ni ziro upinzani wanabamizwa kila siku yeye analalamika anafikiri jiwe atasikiliza ushauri wake MBOWE TAFADHALI PUMZIKA KWA HESHIMA
 
  • Thanks
Reactions: prs
MB
...kweli kabisa kama chama tunao vijana wengi wengi wenye moyo wa kuvumilia mateso ya dora kwanye uongozi kwanini iwe mbowe eti ndie anafaa! Chama ni taasisi lazima kisimtegemee mtu mmoja....kama mbowe atagombea tena akashinda tutegemee chama kuwa na nyufa kubwa tumeanza kuwa kama ccm kuandaa vijana wa maigizo eti kumchukulia form! huu upuuzi ukiachwa uendelee tutabebeshwa zigo la ulafi wa madaraka kama tulivyobebeshwa zigo la kutetea ufisadi 2015 kwa makosa ya kupokea makapi..matokeo yake mpaka leo chama kinaumizwa
MBOWE MPENI LISU CHAMA AKOMBOE NCHI MSIFANYE KOSA LA KARNE PLEASE
 
  • Thanks
Reactions: prs
Mkuu inaonekana habari za Chadema kama unaziokoteza. Mbowe hajapata kuwa Katibu mkuu hata kwa siku moja. Kuna mahali nimeeleza, wapo wengi wanaweza kuwa wenyeviti wazuri sana. Tena wazuri kuliko hata Mbowe, lakini tunazungumzia kipindi hiki kisichokuwa na heshima ya demokrasia, katiba na sheria. Jee ni nani anaweza kuhimili maumivu binafsi kama Mbowe? Maana hayo ni maamuzi binafsi sio ya chama!
Tumuache atuvushe kipindi hiki kigumu cha jiwe then tujipange.
Ni lisu tu
 
  • Thanks
Reactions: prs
Sawa wanafanyiwa yote hayo, swali ni je, Mbowe kama chair anatumia mbinu gani kupambana?!..kama sio kulalamika na kulialia tu. Chama kinahitaji mbinu mpya la sivyo kitapungua umaarufu manake kama ni vizingiti inawekewa vingi sana
Una mawazo sahihi kabisa
 
Ogopa sana MTU anakuonea maksudi kama wanavyofanya serekali ya sasa asipokua MTU mwenye busara anaingiza nchi kwenye machafuko
Kina mtungi mawe awafikirii hilo kuwa bila busara za mbowe wangekuwa wako ze hague siku nyingi.maana pana watu wamelewa hadi kudhani wako juu ya dunia kumbe wanaangaliwa na kuhurumiwa awajui walitendalo
 
Aina ya uongozi wa mbowe inafaa kwa watawala kama kina jk wa sasa yafaaa vichaa na jeuri kama kina Heche jino kwa jino ili moto uwake wakagawane vyumba the hague.Mbowe watamuonea sana
 
Post #1 pale juu imehit like 30! Hii inaonyesha ni jinsi gani kuna wajinga kwenye hii forum.

Kama mtu anauwezo wa kuandika ujinga na watu wakaona ni kitu kizuri bila kujua ni ujinga then akagonga like! Kuna shida kubwa
 
Ulitaka atumie mbinu gani kama anakosa support ya wananchi, dunian kote wakina mandela, ayatollah, ganthi, Martin luther, nyerere walikuwa na support ya wananchi

Bila support ya wananchi ni ngumu
Kupata support ya wananchi unahitaji kuwashawishi tu. Hao kina Mandela walikuwa na uwezo mkubwa wa kushawishi watu wawe nyuma yao na wengine walikuwa tayari kufa kwajili ya viongozi wao. Kuna kipindi fulani hasa cha Dr Slaa, Zitto na Lisu wananchi walishawishika sana na Cdm na walikuwa wanaitikia wito wao iwe ni maandamano au mikutano. Mbowe sio muongeaji au muhamasishaji mzuri, busara na upole vimezidi
 
Aina ya uongozi wa mbowe inafaa kwa watawala kama kina jk wa sasa yafaaa vichaa na jeuri kama kina Heche jino kwa jino ili moto uwake wakagawane vyumba the hague.Mbowe watamuonea sana
Ni kama kwenda kuwinda, kama unawinda sungura unahitaji rungu na mbwa tu. Sasa mnyama anayewindwa ni mbogo tena aliyechachamaa, unaendaje na rungu na mbwa??!!...beba bunduki kabisaa.
 
Jamani naombeni katiba ya chadema ya mwaka 2006 na siyo ile walioifanyia marekebisha mwaka 2016
 
Kupata support ya wananchi unahitaji kuwashawishi tu. Hao kina Mandela walikuwa na uwezo mkubwa wa kushawishi watu wawe nyuma yao na wengine walikuwa tayari kufa kwajili ya viongozi wao. Kuna kipindi fulani hasa cha Dr Slaa, Zitto na Lisu wananchi walishawishika sana na Cdm na walikuwa wanaitikia wito wao iwe ni maandamano au mikutano. Mbowe sio muongeaji au muhamasishaji mzuri, busara na upole vimezidi
Kipind hicho mikutano ilikua inarusiwa at Lest sheria ilikua inafuatwa, sio saw a na sahivi
 
Mimi ni mfuasi wa mageuzi ndani ya nchi hii ila niseme ukweli wa principle ya dictetor yeyote, watu wanaomzunguka huwa hawamwambii ukweli na uwa wanamkimbia pale maji yakiwa shingoni hivyo natoa ushauri sio tu kwa Mbowe.

Watu wote wenye mamlaka ya kiuongozi jaribuni kuwa mnatoka na kwenda kusikiliza Umma unataka nini juu ya uongozi wenu.

Ndicho kinachofanyika kwa Mbowe watu walio karibu yako wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ila ukweli wanaujua wewe umechoka hauna tena jipya ndani ya chama wao wanakushauri upuuzi ili waendelee kula ruzuku sasa subiri 2020 ruzuku ikipungua jinsi watakavyokubadilikia.

Mbowe Jiangalie ondoka kwa heshima kama kweli CHADEMA ni taasisi toka nenda mtaani sikiliza watu halisi wapenda mabadiliko ya kweli si

Na bado mpaka 2020
 
Mimi ni mfuasi wa mageuzi ndani ya nchi hii ila niseme ukweli wa principle ya dictetor yeyote, watu wanaomzunguka huwa hawamwambii ukweli na uwa wanamkimbia pale maji yakiwa shingoni hivyo natoa ushauri sio tu kwa Mbowe.

Watu wote wenye mamlaka ya kiuongozi jaribuni kuwa mnatoka na kwenda kusikiliza Umma unataka nini juu ya uongozi wenu.

Ndicho kinachofanyika kwa Mbowe watu walio karibu yako wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ila ukweli wanaujua wewe umechoka hauna tena jipya ndani ya chama wao wanakushauri upuuzi ili waendelee kula ruzuku sasa subiri 2020 ruzuku ikipungua jinsi watakavyokubadilikia.

Mbowe Jiangalie ondoka kwa heshima kama kweli CHADEMA ni taasisi toka nenda mtaani sikiliza watu halisi wapenda mabadiliko ya kweli sio wapambe.
Duh
 
Back
Top Bottom