Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 12,273
- 6,432
Huu mchezo hautaki hasira, sibahatishi ninachosema.Huu mchezo hautaki hasira, sibahatishi ninachosema.
[/QUOTE]
Nimeona kuna hoja kuu mbili zenye kutumika humu kupendekeza Mbowe aendelee na nafasi yake.
a)Mbowe ni mvumilivu na hanunuliki kwa sababu amepitia amepata misukosuko yeye binafai pamoja na mali zake ila hadi hajakubali kununuliwa amekomaa, hivyo hadi sasa hajaonekana mwengine hapo Cdm ambaye anaonekana kama ataweza kuvumilia hii misukosuko ya aina hii na bado akaendelea kuvumilia na kuuza chama.
b)Mbowe ana hekima na busara hivyo ameweza kuepusha machafuko nchini kwa maana angekuwa mwengine pengine angeshaingiza vijana barabarani na kusababisha machafuko nchini hivyo Mbowe ameishikilia amani ya nchi.
Mkuu hoja hizo unazizungumziaje?