Mbowe, na sisi pia tumekuchoka pumzika acha udikteta ndani ya chama

Mbowe ni Muda sasa Apumzike Tunataka vyama vya upinzani vyenye Damu Changa,

Nawahakikishia Mbowe kafanya mengi Mazuri ila inatosha sasa

Yale Yale ya Mzee Mrema,

Britannica
ningependa tena kuona TLP ya Mrema , NCCR ya Mbatia, CUF ya Lipumba nayo wanchagua wenyeviti maana nao wamekaa mda mrefu pia
 
Mimi ni mfuasi wa mageuzi ndani ya nchi hii ila niseme ukweli wa principle ya dictetor yeyeto, watu wanao mzunguka huwa hawamwambii ukweli na uwa wanamkimbia pale maji yakiwa shingoni hivyo natoa ushauri sio tu kwa Mbowe, Watu wote wenye mamlaka ya kiuongozi jaribuni kuwa mnatoka na kwenda kusikiliza Umma unataka nini juu ya uongozi wenu.

Ndicho kinachofanyika kwa Mbowe watu walio karibu yako wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ila ukweli wanaujua wewe umechoka hauna tena jipya ndani ya chama wao wanakushauri upuuzi ili waendelee kula ruzuku sasa subiri 2020 ruzuku ikipungua jinsi watakavyokubadilikia.

Mbowe Jiangalie ondoka kwa heshima kama kweli CHADEMA ni taasisi toka nenda mtaani sikiliza watu halisi wapenda mabadiliko ya kweli sio wapambe.
Pamoja na haki yako ya kutoa maoni, tuheshimu na sisI tunaemtegemea Mbowe kutuvusha kwenye mto wa mamba wa CCM.
Hanunuliki ujue, hafilisiki ujue wala hayumbishwi.
Sasa kaunge mkono juhudi za mteuaji mtekaji muuaji wa demokrasia unayotuamisha.
 
Bora umenisaidia kusema. Ni kweli Mbowe kafanya mazuri na kakifikisha chama pazuri. Pia amekaa madarakani muda mrefu wa kutosha, ni vyema akipisha wengine wasogeze chama mbele. Uzoefu unaonyesha kiongozi mzuri huwa ni miaka 10 mwisho, ikizidi sana 15. Ikipita hapo, hata yale mazuri yake huanza kuyaharibu.

Tujenge utamaduni wa kupokezana vijiti ili kuleta mawazo na hamasa mpya kila wakati. Msimamo wangu huu ni dhabiti na ninaweza kuutetea bila kumhofia mtu yoyote. Huu sio muda wa Mbowe kuendelea tena kuwa mwenyekiti wa cdm kwa Utetezi wowote ule.
Atoke aende wapi? Atasema nini kwa mkwe?
 
Wewe hujitambui una matatizo makubwa ya akili na unahitaji uangalizi mkubwa sana wa Dr ,eti umemchoka Mbowe na unataka eti apumzike.
Mbowe ana impact gani na maisha yako na ndugu zako?
Unamchoka mwenyekiti wa Chama cha siasa kilichojaa misukosuko kibao ya kuandamwa na dola unaacha kumchoka Magufuli aliyesababisha vilio kwa mamilioni ya watanzania?
Wewe una roho ya kichawi kabisa,kama umemchoka nenda kapige kura ya kumkataa kuliko kuja na hoja za kichawi hapa.
Kunywa maji mkuu
 
Nyinyi nyote ni mamluki wa Lumumba, mwenye mapenzi mema na CDM hawezi kukubali Mbowe aondoke kwa sasa!!
Vijana wameonambali tuwaunge mkono!!
Kama mna nia ya kuuwa chama haya endeleza ushabiki na propaganda za Lumumba!!
 
ninauhakika hakuna kijana yoyote aliyechanga pesa na kumchukulia fomu mbowe kugombea

Mbowe ameamua kuwatumia vijana, uenyekiti bado anauhitaji mno
Mimi kwa kweli nilichanga, na wenzangu wengi tu tulimchangia mbowe Tsh.100,000/= kila MTU.
Kiukweli tunamhitaji Mbowe sasa kuliko wakati wowote ule.
 
Mimi ni mfuasi wa mageuzi ndani ya nchi hii ila niseme ukweli wa principle ya dictetor yeyote, watu wanaomzunguka huwa hawamwambii ukweli na uwa wanamkimbia pale maji yakiwa shingoni hivyo natoa ushauri sio tu kwa Mbowe.
hukue fom
Watu wote wenye mamlaka ya kiuongozi jaribuni kuwa mnatoka na kwenda kusikiliza Umma unataka nini juu ya uongozi wenu.

Ndicho kinachofanyika kwa Mbowe watu walio karibu yako wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ila ukweli wanaujua wewe umechoka hauna tena jipya ndani ya chama wao wanakushauri upuuzi ili waendelee kula ruzuku sasa subiri 2020 ruzuku ikipungua jinsi watakavyokubadilikia.omu

Mbowe Jiangalie ondoka kwa heshima kama kweli CHADEMA ni taasisi toka nenda mtaani sikiliza watu halisi wapenda mabadiliko ya kweli sio wapambe.
Acha ujinga. Kachukue fomu ugombee.
 
Mimi kwa kweli nilichanga, na wenzangu wengi tu tulimchangia mbowe Tsh.100,000/= kila MTU.
Kiukweli tunamhitaji Mbowe sasa kuliko wakati wowote ule.
Kwahiyo mmechanga watu kumi tu! (vijana 10 tu)
 
This is Africa! Mbowe is an African Leader.
 
Attachments

  • IMG-20191126-WA0000.jpg
    IMG-20191126-WA0000.jpg
    68.6 KB · Views: 2
Hii hoja ya kwamba Mbowe akivushe chama wakati huu mgumu wa Magufuli naitafakari ila siielewi.
Kwamba Mbowe ndo anayemuweza Magufuli??..kwamba Mbowe ameweza kukifanya chama kiwe imara zaidi wakati wa Magufuli?!.. kwamba wanachama wa Cdm wameongezeka sana wakati huu??...kwamba chadema chini ya Mbowe kimeshinda chaguzi nyingi za marudio na kimeshinda sana chaguzi za mitaa na vijiji??
Majibu ni kinyume chake. Magufuli ndo anayemuweza Mbowe. Kamfilisi Mali zake, kesi kibao, maandamano na mikutano ya hadhara kafuta, kachukua wanachama kibao, wabunge, madiwani, wenyeviti wa mitaa na vijiji kabeba. Umaarufu wa chama umepungua sana.
Mbowe sio planner, ni mtu wa ku react kwenye matukio tu, tena reaction yake ni ya kulialia, too passive.
Huyu ndo "mwamba" wa kukivusha chama kwenye wakati huu mgumu??!!!!!!
 
Mimi ni mfuasi wa mageuzi ndani ya nchi hii ila niseme ukweli wa principle ya dictetor yeyote, watu wanaomzunguka huwa hawamwambii ukweli na uwa wanamkimbia pale maji yakiwa shingoni hivyo natoa ushauri sio tu kwa Mbowe.

Watu wote wenye mamlaka ya kiuongozi jaribuni kuwa mnatoka na kwenda kusikiliza Umma unataka nini juu ya uongozi wenu.

Ndicho kinachofanyika kwa Mbowe watu walio karibu yako wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ila ukweli wanaujua wewe umechoka hauna tena jipya ndani ya chama wao wanakushauri upuuzi ili waendelee kula ruzuku sasa subiri 2020 ruzuku ikipungua jinsi watakavyokubadilikia.

Mbowe Jiangalie ondoka kwa heshima kama kweli CHADEMA ni taasisi toka nenda mtaani sikiliza watu halisi wapenda mabadiliko ya kweli sio wapambe.
Labda anafaidika kwa kuendelea kuwa kiongozi mkuu wa chama, labda kuna mianya anayoifahamu ambayo kina Erythrocyte hawaifahamu hivyo anaona abora azeekee kwenye kiti chake.

Halafu inakuwa ni kazi nyepesi kwa mwanaCDM kumnanga rais wa nchi kwa udikteta wakati mfano halisi upo ndani ya chama chake.
 
Mimi ni mfuasi wa mageuzi ndani ya nchi hii ila niseme ukweli wa principle ya dictetor yeyote, watu wanaomzunguka huwa hawamwambii ukweli na uwa wanamkimbia pale maji yakiwa shingoni hivyo natoa ushauri sio tu kwa Mbowe.

Watu wote wenye mamlaka ya kiuongozi jaribuni kuwa mnatoka na kwenda kusikiliza Umma unataka nini juu ya uongozi wenu.

Ndicho kinachofanyika kwa Mbowe watu walio karibu yako wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ila ukweli wanaujua wewe umechoka hauna tena jipya ndani ya chama wao wanakushauri upuuzi ili waendelee kula ruzuku sasa subiri 2020 ruzuku ikipungua jinsi watakavyokubadilikia.

Mbowe Jiangalie ondoka kwa heshima kama kweli CHADEMA ni taasisi toka nenda mtaani sikiliza watu halisi wapenda mabadiliko ya kweli sio wapambe.

Husipende ku jeneralise. Unaposema sisi tumekuchoka, ni vizuri useme kina nani na siyo kuwaingiza watu wengine ambao hata ulipoandika huu uzi ukuwashirikisha. Nakushauri ujisemee wewe mwenyewe, na kama ni kundi, basi sema kundi fulani lililopo sehemu fulani.

NB:
Ni kweli yawezekana waliokaribu naye hawamwambii ukweli, sasa kama wewe umejitokeza kumwambia, basi ungefuata taratibu za kumwambia ikiwa ni pamoja na kumwandikia barus rasmi au peleka mawazo/maoni yako ofisi za chama
 
Mimi ni mfuasi wa mageuzi ndani ya nchi hii ila niseme ukweli wa principle ya dictetor yeyote, watu wanaomzunguka huwa hawamwambii ukweli na uwa wanamkimbia pale maji yakiwa shingoni hivyo natoa ushauri sio tu kwa Mbowe.

Watu wote wenye mamlaka ya kiuongozi jaribuni kuwa mnatoka na kwenda kusikiliza Umma unataka nini juu ya uongozi wenu.

Ndicho kinachofanyika kwa Mbowe watu walio karibu yako wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ila ukweli wanaujua wewe umechoka hauna tena jipya ndani ya chama wao wanakushauri upuuzi ili waendelee kula ruzuku sasa subiri 2020 ruzuku ikipungua jinsi watakavyokubadilikia.

Mbowe Jiangalie ondoka kwa heshima kama kweli CHADEMA ni taasisi toka nenda mtaani sikiliza watu halisi wapenda mabadiliko ya kweli sio wapambe.

Mkuu

Kapige kura umtoe!
 
Hkuna kiongozi cdm zaidi ya mbowe
Wengine wote watanunulika kama changudoa

Ova
 
Mimi ni mfuasi wa mageuzi ndani ya nchi hii ila niseme ukweli wa principle ya dictetor yeyote, watu wanaomzunguka huwa hawamwambii ukweli na uwa wanamkimbia pale maji yakiwa shingoni hivyo natoa ushauri sio tu kwa Mbowe.

Watu wote wenye mamlaka ya kiuongozi jaribuni kuwa mnatoka na kwenda kusikiliza Umma unataka nini juu ya uongozi wenu.

Ndicho kinachofanyika kwa Mbowe watu walio karibu yako wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ila ukweli wanaujua wewe umechoka hauna tena jipya ndani ya chama wao wanakushauri upuuzi ili waendelee kula ruzuku sasa subiri 2020 ruzuku ikipungua jinsi watakavyokubadilikia.

Mbowe Jiangalie ondoka kwa heshima kama kweli CHADEMA ni taasisi toka nenda mtaani sikiliza watu halisi wapenda mabadiliko ya kweli sio wapambe.
kuna athari za kiongozi mmoja kuwa madarakani muda mrefu
athari ni kuwa atajiona kana kwamba dhamana aliyopewa ni mali yake binafsi na ataongoza kwa mazoea
nibora aachie vijana wapya wasomi wabadili system nzima ya CHADEMA
 
Watu wengi hawaaminiki kama Elia (yuda esaliote wa kigoma) kabadilika iweje tumpe mwingine alafu auze chama mnataka kupandikiza mbegu ya kuua chama
Ccm wana technique nyingi balaa sasa aje mwingine muone mchezo utakavyo kua rahisi kuiua chadema
 
Back
Top Bottom