Mbowe, na sisi pia tumekuchoka pumzika acha udikteta ndani ya chama

Mbowe anawaendesha, yaani kila mkilala mnafikiria Mbowe tu. Kweli huyu jamaa kamanda
 
Ni kipi ambacho Mbowe anazuia sasa hivi akiwa mwenyekiti? Kama ni uhanga yeye ni muhanga namba moja wa udictator wa Magufuli. Miradi yake mingi imehujumiwa tena kwa sababu zilizo wazi za kisiasa. Kesi anazo za kubambikiwa na huenda akafungwa, alikaa ndani siku 90 tena kwa amri toka juu na hakuna chochote alichofanya.

Kama ni haiba ya chama inazidi kuharibiwa huku yeye akiwa mwenyekiti, viongozi mbalimbali wanahongwa na kuhamia ccm, mikutano na kazi za kisiasa zilizopo kisheria Magufuli kazizuia na Mbowe katii bila hata kwenda mahakamani kupata uamuzi wa kisheria. Kampokea Lowassa na kumpa cheo adhimu cha kugombea urais, hivi leo karudi ccm baada ya kuitumia cdm kama kondomu, mwenyekiti madhubuti hawezi kuokoteza mgombea urais kwa njia ya mwendo kasi. Sasa kwa mazingira hayo na muda aliokaa madarakani aendelee kuwa mwenyekiti ili iwe nini kwa mfano?
Tindo ndo ninachokupendea unasemaga ukweli japo wakati fulani hua tunapingana kihoja. Kila ulichokiandika kina ukweli. Hawa wanaodhani Mbowe ni kinara nadhani wana matatizo. Mbowe kwasasa kapwaya kabisa. Tundu Lissu anaoneka mwenyekiti kulilo mbowe hata Heche.
 
Kiongozi hauta eleweka.
Wapenda mageuzi ya kweli, wapenda chama na sio watu wachumia tumbo au wa mlengo wa maslahi binafsi au watu wa udini au ukabila wanakuelewa sana hoja yako na ya technically .
 
Hii hoja ya kwamba Mbowe akivushe chama wakati huu mgumu wa Magufuli naitafakari ila siielewi.
Kwamba Mbowe ndo anayemuweza Magufuli??..kwamba Mbowe ameweza kukifanya chama kiwe imara zaidi wakati wa Magufuli?!.. kwamba wanachama wa Cdm wameongezeka sana wakati huu??...kwamba chadema chini ya Mbowe kimeshinda chaguzi nyingi za marudio na kimeshinda sana chaguzi za mitaa na vijiji??
Majibu ni kinyume chake. Magufuli ndo anayemuweza Mbowe. Kamfilisi Mali zake, kesi kibao, maandamano na mikutano ya hadhara kafuta, kachukua wanachama kibao, wabunge, madiwani, wenyeviti wa mitaa na vijiji kabeba. Umaarufu wa chama umepungua sana.
Mbowe sio planner, ni mtu wa ku react kwenye matukio tu, tena reaction yake ni ya kulialia, too passive.
Huyu ndo "mwamba" wa kukivusha chama kwenye wakati huu mgumu??!!!!!!
Kwa nin kinafanyiwa hujuma za wazizi huku bashiru akizunguka kufanya mikutano nchi nzima wao hata ya ndani hawarusiwi fikiri kabla ya kuongea
 
Tindo ndo ninachokupendea unasemaga ukweli japo wakati fulani hua tunapingana kihoja. Kila ulichokiandika kina ukweli. Hawa wanaodhani Mbowe ni kinara nadhani wana matatizo. Mbowe kwasasa kapwaya kabisa. Tundu Lissu anaoneka mwenyekiti kulilo mbowe hata Heche.

Kupishana kimitazamo kwenye baadhi ya hoja ndio afya ya mijadala.
 
Mimi ni mfuasi wa mageuzi ndani ya nchi hii ila niseme ukweli wa principle ya dictetor yeyote, watu wanaomzunguka huwa hawamwambii ukweli na uwa wanamkimbia pale maji yakiwa shingoni hivyo natoa ushauri sio tu kwa Mbowe.

Watu wote wenye mamlaka ya kiuongozi jaribuni kuwa mnatoka na kwenda kusikiliza Umma unataka nini juu ya uongozi wenu.

Ndicho kinachofanyika kwa Mbowe watu walio karibu yako wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ila ukweli wanaujua wewe umechoka hauna tena jipya ndani ya chama wao wanakushauri upuuzi ili waendelee kula ruzuku sasa subiri 2020 ruzuku ikipungua jinsi watakavyokubadilikia.

Mbowe Jiangalie ondoka kwa heshima kama kweli CHADEMA ni taasisi toka nenda mtaani sikiliza watu halisi wapenda mabadiliko ya kweli sio wapambe.
Jinga kweli wewe, unafikiri huku Kuna wizi wa kura kama mnavyofanya nyie Inzi wa kijani? Au kukata majina ya wagombea bila utaratibu?

Kura za wajumbe zitaongea kwa sababu hakuna mtu aliyekatazwa kuchukua form.
 
Mshauri mwenyekiti wa chama chako aondoke, wewe si msemaji wa CHADEMA pambaffffff
 
Hakuna cha kuivusha cdm, siungi mkono kiongozi yoyote anayeutaka uenyekita wa cdm aliyetokea ccm, kama Cecil Mwambe au Sumaye, ila kuna watu madhubuti kama John Heche nk. ambao ucdm wao hatuna shaka nao.
Acha ufafa wewe nini maana ya democrasia? Wewe si mwanachama wa CDM, wanachama wa cdm wanachukua form na wengine wameshachukua tunasubiri kupiga kura kuamua nani awe mwenyekiti sio maneno, kura ndio zitaongea swine ww.
 
Jinga kweli wewe, unafikiri huku Kuna wizi wa kura kama mnavyofanya nyie Inzi wa kijani? Au kukata majina ya wagombea bila utaratibu?

Kura za wajumbe zitaongea kwa sababu hakuna mtu aliyekatazwa kuchukua form.
jibu hoja siyo matusi. Hiyo ndiyo tabia ya MATAGA na ninyi wafuasi uchwara wa UKAWA
 
Mimi ni mfuasi wa mageuzi ndani ya nchi hii ila niseme ukweli wa principle ya dictetor yeyote, watu wanaomzunguka huwa hawamwambii ukweli na uwa wanamkimbia pale maji yakiwa shingoni hivyo natoa ushauri sio tu kwa Mbowe.

Watu wote wenye mamlaka ya kiuongozi jaribuni kuwa mnatoka na kwenda kusikiliza Umma unataka nini juu ya uongozi wenu.

Ndicho kinachofanyika kwa Mbowe watu walio karibu yako wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ila ukweli wanaujua wewe umechoka hauna tena jipya ndani ya chama wao wanakushauri upuuzi ili waendelee kula ruzuku sasa subiri 2020 ruzuku ikipungua jinsi watakavyokubadilikia.

Mbowe Jiangalie ondoka kwa heshima kama kweli CHADEMA ni taasisi toka nenda mtaani sikiliza watu halisi wapenda mabadiliko ya kweli sio wapambe.
Anataka kuwa kama vile Maalim Seif na CUF.😄
 
Kwa nin kinafanyiwa hujuma za wazizi huku bashiru akizunguka kufanya mikutano nchi nzima wao hata ya ndani hawarusiwi fikiri kabla ya kuongea
Sawa wanafanyiwa yote hayo, swali ni je, Mbowe kama chair anatumia mbinu gani kupambana?!..kama sio kulalamika na kulialia tu. Chama kinahitaji mbinu mpya la sivyo kitapungua umaarufu manake kama ni vizingiti inawekewa vingi sana
 
Ulitaka atumie mbinu gani kama anakosa support ya wananchi, dunian kote wakina mandela, ayatollah, ganthi, Martin luther, nyerere walikuwa na support ya wananchi

Bila support ya wananchi ni ngumu
 
32 Reactions
Reply
Back
Top Bottom