Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Status
Not open for further replies.
Mzito Kabwela
Ni uongozi upi wa juu unaouzungumzia? maana mungu wako Dr.W.Slaa anakesha JF kugonga like! Na kuhusu Yericko Nyerere asikuumize kichwa anatumiwa ni mganga njaa ni miongoni mwa waganga wanaomtumiwa na babu lipo kudi la waganga la Tabata na Ukonga linatumiwa na babu kupenyeza ajenda zake; nashangaa wale wagangaa njaa wengine sijawaona ingekuwa vyema uwashauri watafute ajira hii kuishi mjini kiujanja kama makahaba wanaojiuza ni hatari sana!
 
Last edited by a moderator:
Umeshaambiwa kwamba chama kinaendeshwa ki-freestyle. Sasa sijui unataka jibu gani tena.
 
Ndio hivyo.

Viongozi wa chadema wameamua kupotezea matakwa ya wanachama.

Sasa kila mwanachama afanye maamuzi magumu.

The time is now...
 
Ndio hivyo. Viongozi wa chadema wameamua kupotezea matakwa ya wanachama.
Sasa kila mwanachama afanye maamuzi magumu. The time is now...
Naamini kila anayejiita Chadema wa kweli alishafanya maamuzi magumu kwa kuupa mgongo ufisadi. Kama yupo ambaye hakuwahi kufanya hivyo, njia nyeupee...The time is now and good riddance!
 
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?

Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?

Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.

Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!

More updates
---------------------
______________-

Sasa hivi ni saa sita mchana..Mpaka sasa yamebaki Masaa Tisa. Bado nasubiri kusikia Tamko la Mwenyekiti wa chama, ama Katibu... Laa sivyo tutachukua maamuzi magumu.

_____________
_____________

Sasahivi ni saa kumi na moja Jioni. Bado msimamo wangu upo pale pale.. Kama Dr.W.Slaa unapitia huu uzi usiupuuze njoo uje utoe kauli yako.

Mkuu wewe kumbe ndio nani vile?Mbona umejificha halafu unatoa taamko wewe ndio nani i mean jina lako ndio nani na wadhifa wako Kwa nchi hii au Kwa chama Please then from there nitarudi tena kuchangia hoja yako.Mp....u...mba...vu kabisa
 
Kwahiyo unamaanisha Slaa sio mwanachadema wa ukweli?
 
Kamanda tunasubiri action time is over...

Najua utakuja na maamuzi magumu.

Kumbe siku hizi hata vijibwa koko vinaitwa kamanda? Huyo demu alikuwa anatishia nyau kimagirini. Kwa taarifa yako ni kijana wako huyo.
 
aaaaaah mimi huko simo endeleren wenyewe,kwani mimi na vyama vyenu vya kivfisadi hata sihusiki navyo...n
 
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?

Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?

Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.

Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!

More updates
---------------------
______________-

Sasa hivi ni saa sita mchana..Mpaka sasa yamebaki Masaa Tisa. Bado nasubiri kusikia Tamko la Mwenyekiti wa chama, ama Katibu... Laa sivyo tutachukua maamuzi magumu.

_____________
_____________

Sasahivi ni saa kumi na moja Jioni. Bado msimamo wangu upo pale pale.. Kama Dr.W.Slaa unapitia huu uzi usiupuuze njoo uje utoe kauli yako.

Na wewe ni walewale jf ni ujingaujinga mwingi yanakuuma nini kama cyo ccm. Jarida bovubovu acha wajinga waendelee unajitoa kwa ajili ya majarida kama jf. Wewe cyo mwanamapinduzi masaa hayajaisha uondoke
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wewe kumbe ndio nani vile?Mbona umejificha halafu unatoa taamko wewe ndio nani i mean jina lako ndio nani na wadhifa wako Kwa nchi hii au Kwa chama Please then from there nitarudi tena kuchangia hoja yako.Mp....u...mba...vu kabisa
kamati kuu CCM.
 
Naamini kila anayejiita Chadema wa kweli alishafanya maamuzi magumu kwa kuupa mgongo ufisadi. Kama yupo ambaye hakuwahi kufanya hivyo, njia nyeupee...The time is now and good riddance!

Unajidanganya kijana kwa kukimbilia CHADEMA ukidhani unaukimbia ufisadi wa CCM kumbe huku ulipokuja pia ufisadi umetamalaki ndani ya Chama.Mwigamba anaufahamu uchafu mwingi ndani ya Chama kwakweli hiki Chama kinahitaji kusafishwa kwanza tupate Uongozi mpya ulio safi na wenye kuaminika kwetu Watanzania na hapo tutakuwa tayari kuridhia CHADEMA kuingia Ikulu ila chini ya hawa wahuni sijui,Dr Slaa safi ila?....Namuonea huruma sana Dr Slaa hadhi yake inachafuliwa na hawa watu wanaomzunguka si watu wazuri kabisa na sina uhakika kama wanamtakia mema.Ningefurahi kama Dr Slaa ange-team up na Zitto kujenga alliance mpya ndani ya Chama yenye lengo kuirudisha CHADEMA kwenye MISINGI na pia kuitoa CHADEMA mikononi mwa Watu wachache na kuirejesha kwa Wananchi wa kada zote.
 
Ndio hivyo.

Viongozi wa chadema wameamua kupotezea matakwa ya wanachama.

Sasa kila mwanachama afanye maamuzi magumu.

The time is now...

Vipi kuhusu 'dogo' sixgates...??
'Saa 24' alizotoa ziliisha zamani sana, na kwa sasa yuko 'mitini'..!!
Au mimi sikumuelewa vizuri..?? Labda alitoa siku 24, na sio saa 24...??????
Ritz njoo ufafanue vizuri, na usisahau kuja pamoja na 'shangazi' yenu FaizaFoxy.
 
Unajidanganya kijana kwa kukimbilia CHADEMA ukidhani unaukimbia ufisadi wa CCM kumbe huku ulipokuja pia ufisadi umetamalaki ndani ya Chama.Mwigamba anaufahamu uchafu mwingi ndani ya Chama kwakweli hiki Chama kinahitaji kusafishwa kwanza tupate Uongozi mpya ulio safi na wenye kuaminika kwetu Watanzania na hapo tutakuwa tayari kuridhia CHADEMA kuingia Ikulu ila chini ya hawa wahuni sijui,Dr Slaa safi ila?....Namuonea huruma sana Dr Slaa hadhi yake inachafuliwa na hawa watu wanaomzunguka si watu wazuri kabisa na sina uhakika kama wanamtakia mema.Ningefurahi kama Dr Slaa ange-team up na Zitto kujenga alliance mpya ndani ya Chama yenye lengo kuirudisha CHADEMA kwenye MISINGI na pia kuitoa CHADEMA mikononi mwa Watu wachache na kuirejesha kwa Wananchi wa kada zote.

Huyo hatumtaki jamani,na nyie muda umekwisha,mchukuane mwende wana kwenda,kwaherini dada zangu..na mumsalimie Shonza.
 
dr. slaa na mbowe wamlinde zito kwani anatokea kaskazini.., huyu jamaa alikuwa hajui kama chama kina wenyewe na makabila yao..,
Zitto, Kafulila, Rungwe na watu wengine wa Kigoma walianzisha chama cha siasa na hivi sasa mwenyekiti ni Rungwe.. Kwa nini wasikiache chama hiki na kurudi kwenye chama walichokianzisha kwa gharama kubwa?
 
hahah hiki kitakuw cha MAGHARIBI
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom