Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Status
Not open for further replies.
CDM wamelogwa mwaka huu kila kukicha vijembe ndani ya chama na hakuna wakumkemea!

Yaani ndani ya CDM kila mtu na Lwake! Mbowe Kama kawa yupo na watoto wa hiari akina Lema a.k.a Prince, Nassary na Yericko bila kumsahau Mzee wa Sumu a.k.a Nane!

Hawa wote ni watoto wa kambo wa Mbowe wakipngozwa na kaka Yao mkubwa Lema.........mbumbumbu
 
Muda umekwisha ibuka basi we mburula,unatisha wanaume,wenzio tunakosoana,na kuonyana,humohumo,tutoke chadema tuende wapi?
 
Zitto Ana roho ya ustahimilivu na subra! Ni mfano wa kuigwa! Nimeongea nae jioni hii na kusema anajua kila kitu kinachoendelea na mwisho wake.

Amesema kuna watu wapo nyuma ya pazia! Lakini kikubwa kwa hawa vijana akina Lema, Nassary, Yericko na Ben ni wivu wa maendeleo! Zitto anaweza kujenga hoja kuliko hawa wote!

Hata akili zao ukizichanganya kwa pamoja hawawezi mfikia Zitto! Wote hawa ni hewala Mbowe na Slaa!

Lakini wanazidi kimjenga na kukaa kimya kwake ni ukomavu mkubwa wa fikra! Lakini pia ni tusi kubwa kwa familia hii kubwa ya mbowe!
 
Mkuu mwangalie wife uyo anatamaa sana usikute Mwigulu anamlea

hata mimi mkuu hofu imeanza kuniingia kwani mke wangu simiyu ananivunjia heshima kisa siasa. Tafadhari mwigulu muache simiyu ni mke wangu wa ndoa. Na kama ukiendelea kurubuni ntakufikisha mbele ya sheria.
Mama watoto SIMIYU TULIA TUFANYE MAISHA.
 
Muda umekwisha ibuka basi we mburula,unatisha wanaume,wenzio tunakosoana,na kuonyana,humohumo,tutoke chadema tuende wapi?

CCM chama dume na chama chenye Hekma na busara ambapo mawazo yote ni sawa!

Pole sana ukitaka Raha njoo CCM
 
Zitto Ana roho ya ustahimilivu na subra! Ni mfano wa kuigwa! Nimeongea nae jioni hii na kusema anajua kila kitu kinachoendelea na mwisho wake.

Amesema kuna watu wapo nyuma ya pazia! Lakini kikubwa kwa hawa vijana akina Lema, Nassary, Yericko na Ben ni wivu wa maendeleo! Zitto anaweza kujenga hoja kuliko hawa wote!

Hata akili zao ukizichanganya kwa pamoja hawawezi mfikia Zitto! Wote hawa ni hewala Mbowe na Slaa!

Lakini wanazidi kimjenga na kukaa kimya kwake ni ukomavu mkubwa wa fikra! Lakini pia ni tusi kubwa kwa familia hii kubwa ya mbowe!
 
CDM wamelogwa mwaka huu kila kukicha vijembe ndani ya chama na hakuna wakumkemea!

Yaani ndani ya CDM kila mtu na Lwake! Mbowe Kama kawa yupo na watoto wa hiari akina Lema a.k.a Prince, Nassary na Yericko bila kumsahau Mzee wa Sumu a.k.a Nane!

Hawa wote ni watoto wa kambo wa Mbowe wakipngozwa na kaka Yao mkubwa Lema.........mbumbumbu

Chukua hatua chukia CDM
 
Mtoa mada muda umeishaaaaaaa mbona huondoki,toka bhana...
 
Kamanda tunasubiri action time is over...

Najua utakuja na maamuzi magumu.
 
CDM wamelogwa mwaka huu kila kukicha vijembe ndani ya chama na hakuna wakumkemea!

Yaani ndani ya CDM kila mtu na Lwake! Mbowe Kama kawa yupo na watoto wa hiari akina Lema a.k.a Prince, Nassary na Yericko bila kumsahau Mzee wa Sumu a.k.a Nane!

Hawa wote ni watoto wa kambo wa Mbowe wakipngozwa na kaka Yao mkubwa Lema.........mbumbumbu

Chukua hatua chukia CDM

Mdogo wangu Mwampamba mbona unajizalilisha hivyo Mjenzi?! Kama sio Hambaku bwana acha mambo hizo dogo waachie wenye unafiki wao.Unanisononesha sana mdogo angu.
 
Zitto Ana roho ya ustahimilivu na subra! Ni mfano wa kuigwa! Nimeongea nae jioni hii na kusema anajua kila kitu kinachoendelea na mwisho wake.

Amesema kuna watu wapo nyuma ya pazia! Lakini kikubwa kwa hawa vijana akina Lema, Nassary, Yericko na Ben ni wivu wa maendeleo! Zitto anaweza kujenga hoja kuliko hawa wote!

Hata akili zao ukizichanganya kwa pamoja hawawezi mfikia Zitto! Wote hawa ni hewala Mbowe na Slaa!

Lakini wanazidi kimjenga na kukaa kimya kwake ni ukomavu mkubwa wa fikra! Lakini pia ni tusi kubwa kwa familia hii kubwa ya mbowe!
Wewe una ajenda ya siri!... Huna lolote!... Mchana CCM kwa ajili ya JK, jioni CDM kwa ajili ya ZK na Usiku kulala kwa SULTAN!!!
 
dr. slaa na mbowe wamlinde zito kwani anatokea kaskazini.., huyu jamaa alikuwa hajui kama chama kina wenyewe na makabila yao..,
 
CDM wamelogwa mwaka huu kila kukicha vijembe ndani ya chama na hakuna wakumkemea!

Yaani ndani ya CDM kila mtu na Lwake! Mbowe Kama kawa yupo na watoto wa hiari akina Lema a.k.a Prince, Nassary na Yericko bila kumsahau Mzee wa Sumu a.k.a Nane!

Hawa wote ni watoto wa kambo wa Mbowe wakipngozwa na kaka Yao mkubwa Lema.........mbumbumbu

Chukua hatua chukia CDM
Hivi kwenu mmeacha kuchuna ngozi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom