palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,462
Aliyeanza kushambulia wenzie ni nani?In short nimempigia simu Mnyika na kasema atahakikisha anacontrol situation, Zitto hapokei simu. Dr Slaa na Mbowe sijazoeana nao.
In short nimempigia simu Mnyika na kasema atahakikisha anacontrol situation, Zitto hapokei simu. Dr Slaa na Mbowe sijazoeana nao.
Busara hii ndiyo ambayo mimi niliitegemea kutoka kwako... Sasa posti yako imejaa madudu unayoyalalamikia.. Bila shaka ungekuwa katika nafasi ya lema ungefanya ujinga ule ule? KUKUKOSOA HATA KWA UKALI SI KUKUDHARAU!.In short nimempigia simu Mnyika na kasema atahakikisha anacontrol situation, Zitto hapokei simu. Dr Slaa na Mbowe sijazoeana nao.
Huwezi kunyoosha chama mtandaoni wewe!!!Mkuu hatuwezi kuacha chama kiende hovyo, lazma tukinyooshe
Mkuu hatuwezi kuacha chama kiende hovyo, lazma tukinyooshe
Kama upo Sinza umeshindwaje kwenda kinondoni?Muulize Mnyika na wanachama wa chadema sinza.
hahahhaha mkuu nini?
| Scramble for Africa |
sifongo
Ni kweli kabisa, hawa watu wa chadema inaonesha wameshiba ruzuku zinazotokana na kodi tunazokatwa kwenye mishahara yetu na biashara zetu wanaanza kutunishiana misuli. Tusiruhusu
Mleta mada hujawa objective. Ningekuona una maana sana kama ungejaribu kuleta bandiko ukifocus kwenye reality. Unaposema Lema amemkosea naibu katibu mkuu bila kusema naibu katibu mkuu amewakosea wanachama wengine akiwamo Lema unaondoa kabisa maana nzuri uliyokusudia kwenye andishi lako hili.
Binafsi tangu mwanzo sijawahi na sitawahi kuja kuunga mkono malumbano ya kipuuzi ya namna hii. Kinachoumia ni chama. Chama hiki kuna watu wamekifia, kuna watu wamekaa rumande/gerezani kwa chama hiki. Kuna watu wametoa fedha zao halali kwa ajili ya chama hiki. Kujivua nguo hadharani kwa style ile ni kudemoralize nguvu kubwa ya sisi tilio baki. Ni ku water down nguvu ya damu iliyomwagika kwa kukipigania chama.
Mshindi katika vita hii atakuwa mi CCM. Chama ambacho wengine hatutaki hata kukisikia japo kwa sekunde hata moja.
Kwa ufupi Zitto na Lema wana 'dhambi' zinazofanana.
Nimefarijika baada ya kuambiwa Uongozi wa juu umeingilia kati. Nadhani hata Yericko Nyerere atakuwa ametaarifiwa aache mpango wake alionao.
Mzito usimpake mafuta kwa mgongo wa chupa. Hanyooshi chama ila anachochea malumbano... Ofisi za chama hazijui?Asante mkuu sixgates. Angalau umetimiza wajibu wako
Yeriko ni mtu kama wewe... Ukitoa tuhuma si kauli ya CHADEMA...Apana, nimesema binafsi nina matatizo na Zitto ila lazma tuheshimu viongozi. Haiweezekan yericko anakurupuka kuweka risiti kuanza kumshushia tuhuma zitto, ni utoto afate taratibu