Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Status
Not open for further replies.
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?

Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?

Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.

Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!

More updates
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Sasa hivi ni saa sita mchana..Mpaka sasa yamebaki Masaa Tisa. Bado nasubiri kusikia Tamko la Mwenyekiti wa chama, ama Katibu... Laa sivyo tutachukua maamuzi magumu.

Mkuu bado hujajitoa tu? kwani masaa 24 hayajaisha? jitoe bana,maana utaturahisishia.
 
Labda niulize, ni kwa nini unafikiri angesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi au Slaa matamko yangetolewa?
 
sifongo

Ni kweli kabisa, hawa watu wa chadema inaonesha wameshiba ruzuku zinazotokana na kodi tunazokatwa kwenye mishahara yetu na biashara zetu wanaanza kutunishiana misuli. Tusiruhusu
Wewe si umejiita mwanaCHADEMA na ukatishia kuungana na wanachama wa kanda yako kutoa matamko, inakuwaje tena unasema hawa watu wa CHADEMA wameshiba ruzuku?, Ukiwa muongo usiwe msahaulifu.
 
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?

Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?

Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.

Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!

More updates
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Sasa hivi ni saa sita mchana..Mpaka sasa yamebaki Masaa Tisa. Bado nasubiri kusikia Tamko la Mwenyekiti wa chama, ama Katibu... Laa sivyo tutachukua maamuzi magumu.

Mtu mzima hatishiwi nyau
 
Tatizo la ccm, pia linainyemelea CHADEMA, kuwa na double standard katika maamuzi, sio jambo zuri kwa taasisi!
 
We bana ondoka tu chadema,usiwatishe viongozi. Inaonesha una chuki binafsi. Toka nenda ccm. Kwa nini hata kwa aliyeleta rist(YERICKO NYERERE) unawatuhumu viongozi wa chama? Kwani Yericko anacheo gani makao makuu?.unaposema wameishia kuleta rist,ina maana Yericko angekemea ndio ungemuelewa kama kiongozi? Nimeshakwambia Mnyika(msemaji wa chama) alishalitolea ufafanuzi hilo.tafuta uzi wa Pasco usemao, lema kumshambulia zitto,ni ushujaa wake au udhaifu wa viongozi wa juu?(kimsingi kauli ya Mnyika ndio kauli ya chama-ndio kauli ya Mbowe-ndio kauli ya dr slaa). Unachokitaka ni kitu kisichowezekana. Binafsi sitaki kuona Mbowe,dr au mwingine yeyote akiingilia kazi ya Mnyika tena kwa jambo ambalo alishalitolea ufafanuzi. LENGO lako ni kuondoka chadema,toka tena uwahi bungeni ukatambulishwe kabla vikao havijaisha.kafanyiwe kama walivyofanyiwa wenzako kina Shenzi na Stella.
 
hahaha, kamati kuu ya CCM imetoa masaa 24 kwa Mh. Mbowe na Dr,Slaa, loh, hii kali ya mwaka.
kama ni kweli Mbowe na Dr Slaa wataita hicho kikao chama kitapona,jambo la msingi ni kuwakanya halo wabunge vijana wa Chadema wawe na lugha nzuri majukwaani waige mfano wa wabunge wa NCCR Jinsi wanavyo elezea jambo sio kuropokaropoka kama walevi
 
sasa ndugu wewe unalinganisha wabunge wa NCCR na WACHADEMA wapi na wapi???? au una maanisha chadema ijiunge na NCCR?maana kwangu wabunge wa chadema kuiga ya NCCR ni kuwa kama NCCR, siafiki, ngoja nyeupe iitwe nyeupe na nyeusi ibaki kuitwa nyeusi, iache chadema na mambo yake.
 
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote.
More updates
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Sasa hivi ni saa sita mchana..Mpaka sasa yamebaki Masaa Tisa. Bado nasubiri kusikia Tamko la Mwenyekiti wa chama, ama Katibu... Laa sivyo tutachukua maamuzi magumu.

Mi -jitu mingine kweli matatizo tu!
Mwambiea aliyekutuma muondoke CDM mapema maana CDM si mtu ni wanachama kwahiyo hata mukiondoka 1000 CDM itaendelea kuwapo!

Unaelewa hata Mzee Mtei hawezi kutoa onyo kwa CDM hata ya Mwaka sembu ya 24hrs! wewe na kundi lako la Masalia mnadahani mutaweza kitikisa CDM!

Zungumzia hoja/tuhuma kama zinaukweli au lah!

Unafahamu vizuri Zitto ni Naibu Katibu mkuu kwani nini hujiulizi ameshindwa nini kutumia kofia yake ya Naibu Katibu Mkuu kushughulikia mgogoro kati yake na Lema kama unadhani kuna mgogoro kweli!
 
Ishu ya mgombea binafsi ikifanikiwa Zitto ajitoe Chadema coz hawez kukosa kura za Kigoma. Inasikitisha kuona kapewa cheo kikubwa ila analetewa dharau na watoto kama Lema na viongoz wa juu wamekaa kimya.
 
MASAA 24 bado tuu mkuu
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?

Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?

Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.

Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!

More updates
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Sasa hivi ni saa sita mchana..Mpaka sasa yamebaki Masaa Tisa. Bado nasubiri kusikia Tamko la Mwenyekiti wa chama, ama Katibu... Laa sivyo tutachukua maamuzi magumu.
 
Kuna mpango wa kumung'oa Zitto
kwenye nafasi yake ya naibu katibu
mkuu- CHADEMA ambao ulisukwa
kiufundi sana ndani ya kikao
kilichoitishwa na Mbowe...
Nimekuwa nikihangaika sana
kuufichua ukweli bila mafanikio.Jana
niliiweka habari hii JF lakini waliitoa
kwa maslahi yao binafsi....Naomba
ujumbe huu uwafikie wanachama
wote wenye mapenzi ya dhati na
Chama chetu.
Kikao hicho kilifanyika nyumbani kwa
Mbowe katikati ya mwezi octoba
mwaka huu na kilihudhuriwa na LEMA,
MNYIKA, SUGU, WENJE, MSIGWA na
BAUNSA mmoja aitwaye SWAI,
Katika kikao kile Mbowe aliwadhihaki
wabunge wake aliokuwa nao kikaoni
kwa kusema wanamuogopa zitto na
kwamba amewakalia kichwani
utadhani *****
Kauli hiyo iliamsha hasira za Wenje na
kuanza kuporomosha matusi kwa Zitto
bila yeye kuwepo pale.
Mnyika alionekana mwenye hofu sana
juu ya mipango ile na baada ya
mipango kuanza aliamua kuzuga kuwa
amepigiwa simu na mama yake mzazi
anamuhitaji nyumbani.
Baada ya Mnyika kuondoka Lema
alisema: ''Mnyika hana msaada
wowote hapa maana ni muoga sana''
Mbowe alianza kuwauliza kila mmoja
ana mbinu gani ya kumzuia Zitto
asigombee nafasi yoyote ya chama.
Lema alinyanyuka na kusema: "Huyu
Zitto lazima tumkalishe chini kiakili
sana, kwanza tumpe psychological
disambiguate zitakazomfanya
ashindwe kuwaunganisha watu wake,
mimi nitaifanya hiyo kazi....."
Baada ya kauli ya Lema, Wenje
naye alitoa njia mbadala kwa kusema:
"Watu wa zitto si tunawafahamu, sasa
tuwapige chini kisha uchaguzi uitwe
haraka kwa kuwatumia viongozi
watakaokuwa wamekaimu nafasi za
wajumbe wa mikutano mikuu,
Wakati huo Sugu na Msigwa wao
walikuwa kimya huku Msigwa akitikisa
kichwa kwa kukubaliana nao.
Mbowe alimalizia kwa kusema kuwa
ni lazima Zitto avurugwe kiakili ili
aropoke awatukane au awaseme
viongozi wa taifa.....
"Akisha wataja na kuwahusisha na
tuhuma atakazopewa tu, tutaitisha
kamati kuu kisha tutajadili na
ikiwezekana tutapiga kura ya kutokuwa
na imani nae ili asimamishwe uongozi..
"Wakati akihangaika kusubiri kikao
cha baraza kuu kukata rufaa tutakuwa
tumeshaitisha uchaguzi wa chama na
yeye hataruhusiwa kugombea kwa
sababu atakuwa hajamaliza mzozo
wake."Alisema Mbowe na kuongeza:
"Kuanzia sasa mimi nitazunguka
maeneo yenye mtandao wake,
nitawaondoa wanaomuunga mkono na
kusimika viongozi wa muda wenye
mlengo wetu ambao watasaidia
kushinda uchaguzi wetu."
Kauli ya Mbowe imeshaanza
kutekelezwa ambapo mpaka sasa
Mbowe amemsimika Kasulumbai
kanda ya Mashariki .Kasulumbai
aliagizwa akusanya watu kwa basi
toka vyuo vilivyo shinyanga na kisha
wakapewa uongozi wa wilaya bandia
hata kama hawajui wilaya zenyewe
ziko mikoa gani.
Pamoja na hayo, Mbowe amemtimua
mwenyekiti wa Mara, kawafukuza
viongozi wengi wa wilaya na Kata
ambao walikuwa upande wa Zitto.
( Tumetumiwa habari hii na ndugu
aliyejitambulisha kwa jina moja la
Konga.)
 
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?

Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?

Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.

Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!

More updates
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Sasa hivi ni saa sita mchana..Mpaka sasa yamebaki Masaa Tisa. Bado nasubiri kusikia Tamko la Mwenyekiti wa chama, ama Katibu... Laa sivyo tutachukua maamuzi magumu.

Maamuzi magumu kwani wewe Lowasa? Nenda kwenye chama chenu cha mafisadi tuachie chadema yetu.
 
mke wangu simiyu unanikataa?
JE' HUO UJAUZITO ULIONAO ATAUTUNZA NANI?
SIKIA MAMA WATOTO, SIASA ISIFANYE UNIULIE MTOTO WANGU TULIA MAMA TUJENGE FAMILIA.
Mkuu mwangalie wife uyo anatamaa sana usikute Mwigulu anamlea
 
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?

Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?

Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.

Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!

More updates
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Sasa hivi ni saa sita mchana..Mpaka sasa yamebaki Masaa Tisa. Bado nasubiri kusikia Tamko la Mwenyekiti wa chama, ama Katibu... Laa sivyo tutachukua maamuzi magumu.

Sijakupat vizuri, unalaumu yericko Nyerere kutoa tamko, je wewe unachokifanya/toa ni nini?
Kama unauwezo wa kutoa shuluhisho la yanayoendelea, yanini uwape 24hrs Mwenyekiti na Katibu wake?
Je tayari kuna kikundi ambacho mmeanzisha cha kufanya maamuzi magumu maana inaonekana haupo peke yako?
Nashauri kama unamaamuzi ambayo yataleta majibu ya yanayoendelea, basi ni vyema ukayafanya sasa badala ya kusubiri 24hrs ili kunusuru madhara yasitokee zaidi
 
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?

Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?

Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.

Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!

More updates
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Sasa hivi ni saa sita mchana..Mpaka sasa yamebaki Masaa Tisa. Bado nasubiri kusikia Tamko la Mwenyekiti wa chama, ama Katibu... Laa sivyo tutachukua maamuzi magumu.

Unatoa masaa 24! unaukosefu wa adabu na inawezekana unafanana na hao unaowalalamikia, ungeweza kufikisha ujumbe wako mahala sahihi ungejitofautisha na wajinga wengi.
 
Siku hizi thread zisizo na substance zinauza kweli! Zitto naye anaimba taarab zake facebook hatuchangii, tuna-like tu upuuzi wake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom