sixgates, unajua kuwa 'mwenzako'
ZeMarcopolo alisema kuwa yeye yuko hapa JF kwa ajili ya 'ku-shape' public opinion kuhusu 'wapinzani'.
Yale yale ya kutekeleza 'amri' za 'boss' wenu' Le-Mutuz...!!
Hebu soma tena hapa uelewe vizuri 'maagizo' mliyopewa...
Maagizo ya 'kuwachafua' Mbowe na Slaa, na 'kumpamba' Zitto...!!
Someni tena hapa muelewe vizuri ili mnapoleta thread na sisi tuwaelewe vizuri...!!
@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you
OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea
ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!
- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!
KIDUMU CCM!
KIDUMU CHAMA TAWALA!!
HA! HA! HA! HA!
- LE MUTUZ!!