Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,948
- 13,378
Hebu kalale huko wewe kwenye nyumba uliyohongwa na shoga mmeo...
hahaha dah! nimechekaje,ile nyumba nimeitosa baada ya kushtukia kumbe yule shoga ana kadi ya cdm.
Nalog off
Hebu kalale huko wewe kwenye nyumba uliyohongwa na shoga mmeo...
kwa chama kipi sasa kitakachoweza kuichukua hii nchi zaidi ya ccm?
Nalog off
Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?
Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?
Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.
Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!
utovu wa nidhamu ulianzishwa na zitto mwenyewe kwa wakubwa zake,kumbuka kipindi akina shonza na mwampamba wanamtukana Dr.slaa wazi wazi huku wakimsifia zitto bila zitto mwenyewe kukemea wala kukanusha matukano hayo kwa boss wake,cha ajabu badala ya kukemea naye alimshambulia bos wake Dr.Slaa,lakini ninyi mashabiki wa zitto mlikaa kimya na kusapoti hizi hujuma na dharau za zitto kwa mkuu wake,sio hilo tu bado zitto alipingana na msimamo wa chama chake ambao walijiridhisha pasipo shaka kwamba,sakata la ugaidi alilotengenezewa lwakatare ni la kupangwa na akina mwigulu,ludoviki na denis msaky,baada ya msaki kutajwa zitto alikuja juu na kumtetea msaky rafiki yake kwamba eti ole wao wanaonata kumgeuza victim(muathirika)msaki na kumfanya kuwa mtuhumiwa,alikipinga chama chake hadharani na mlikaa kimya,kimsingi semeni mnavyoweza lakini zitto ndio tatizo anafanya kazi za ushetani na Mungu anajua hivyo.Najiuliza tu, hivi hiki chama chetu si kina mwenyekiti, na katibu? Haiingii akilini Zitto naibu katibu anashambuliwa na Lema na baadhi ya wanaoitwa makada wa chadema then mwenyekiti na katibu hawasemi lolote. Hivi angekuwa amesemwa John Mnyika, Josephine Mushumbusi ama Slaa si matamko yangetolewa? Mungekaa Kimya?
Binafsi nina matatizo na mwenendo wa Zitto, lakini katika hali ya kawaida uongozi wa chadema mmechemsha, badala ya kujibu hoja mnaleta risiti zinazomhusu Zitto sasa hizo risiti tuzifanyeje?
Ninachotaka kuona ni maamuzi yasiyo na double standard. Yaani hiki chama kimekuwa cha ajabu sana yani kwa mfano wapo vijana kama Yericko Nyerere anatoa matamko utafikiri chadema ni chama cha shangazi yake (naongea kama wanachama wanavyosema huku mitaani) na haoni madhara ya anayoyaandika humu.
Natoa saa 24 Mbowe na Dr Slaa najua mtasoma hii post, mchukue hatua na kuhakikisha Zitto hashambuliwi katika taratibu zisizo sahihi, laa sivyo nitaungana na wanachama wa kanda yangu tutatoa tamko latakalofuatiwa na kujitoa katika shughuli zote za kichama. Tunaweza!
Naunga mono hoja.
![]()
scramble for africa
Scramble for Africa
utovu wa nidhamu ulianzishwa na zitto mwenyewe kwa wakubwa zake,kumbuka kipindi akina shonza na mwampamba wanamtukana Dr.slaa wazi wazi huku wakimsifia zitto bila zitto mwenyewe kukemea wala kukanusha matukano hayo kwa boss wake,cha ajabu badala ya kukemea naye alimshambulia bos wake Dr.Slaa,lakini ninyi mashabiki wa zitto mlikaa kimya na kusapoti hizi hujuma na dharau za zitto kwa mkuu wake,sio hilo tu bado zitto alipingana na msimamo wa chama chake ambao walijiridhisha pasipo shaka kwamba,sakata la ugaidi alilotengenezewa lwakatare ni la kupangwa na akina mwigulu,ludoviki na denis msaky,baada ya msaki kutajwa zitto alikuja juu na kumtetea msaky rafiki yake kwamba eti ole wao wanaonata kumgeuza victim(muathirika)msaki na kumfanya kuwa mtuhumiwa,alikipinga chama chake hadharani na mlikaa kimya,kimsingi semeni mnavyoweza lakini zitto ndio tatizo anafanya kazi za ushetani na Mungu anajua hivyo.
Bt Zitto ni zaidi ya wote.Mkuu unamtaja Mungu. Don't be that emotional..wanasiasa wote ni wanafiki. Don't trust them.
utovu wa nidhamu ulianzishwa na zitto mwenyewe kwa wakubwa zake,kumbuka kipindi akina shonza na mwampamba wanamtukana Dr.slaa wazi wazi huku wakimsifia zitto bila zitto mwenyewe kukemea wala kukanusha matukano hayo kwa boss wake,cha ajabu badala ya kukemea naye alimshambulia bos wake Dr.Slaa,lakini ninyi mashabiki wa zitto mlikaa kimya na kusapoti hizi hujuma na dharau za zitto kwa mkuu wake,sio hilo tu bado zitto alipingana na msimamo wa chama chake ambao walijiridhisha pasipo shaka kwamba,sakata la ugaidi alilotengenezewa lwakatare ni la kupangwa na akina mwigulu,ludoviki na denis msaky,baada ya msaki kutajwa zitto alikuja juu na kumtetea msaky rafiki yake kwamba eti ole wao wanaonata kumgeuza victim(muathirika)msaki na kumfanya kuwa mtuhumiwa,alikipinga chama chake hadharani na mlikaa kimya,kimsingi semeni mnavyoweza lakini zitto ndio tatizo anafanya kazi za ushetani na Mungu anajua hivyo.
Unazidi kuudhirishia umma wa Watanzania kwanini hauwezi kuwapa chadema kuongoza nchi.
Ni kundi la wahuni kama wewe, hauna tofauti na Mbowe na Slaa.
Njoo na jina lako kamili mnafki wewe.Kwani mimi ni kila mtu. Mimi ni Six nmetoa karipio na tishio. So kama na wewe una ubavu you can do that.
Zitto ndie aliyeanza kumshambulia Lema tena kwa yaliyotokea kwenye kikao ambcho hakwepo.Zitto ni mtovu wa nizamu lakini pawe na taratibu za kuwajibisha viongozi sio kuja kutuaibisha mitandaoni. Two wrong doesn't make one right.
........Mkuu tedo ungetumia kiboko ila hii missile ni nzito sana!!!!
Mkuu, nimeaanza kuamini hiki chama kimekaa kikanda zaidi!!!!!. Inanilazimu kufikilia upya!
Kiikweli siwaelewi Mbowe na Slaa. Hivi wapo kweli na wanafahamu haya yanayoendelea ndani ya chama? Kimya chao kinamaanisha kitu gani?
Nahisi Zitto hahitajiki kwenye chama hicho tena.