Mbowe, Mwigamba watwangana ngumi Arusha

Mambo ya magazeti bwana,kwanini wasituwekee na picha za hizo ngumi?
 
Si busara mwanamume kushabkia uongo,lazima kuthibitisha jambo ndo ulisemee,la sivyo kaa kimya!Tunapenda hoja si uzushi
 
Gazeti kipenzi la zitto nasoma habari ya ngumi kavu kavu nashangaa mwananchi limeshaanza kuwa gazeti la uongo eti ooh mwigamba alimshua ngumi lemaa akakwepa makanjana wa habari Tanzania hatuonyweshi ngumi wala nini maneno ya picha za watu wakadhani wananchi wataamini duh
 
Gazeti la ridhiwani bwana embu wamefanya utafiti hii habari ya uongo kama imeleta mtikisiko wowote ha ha Jambo leo bado miezi 28 kabla hujapotea kwenye ramani hakutakuwa na ruzuku ya IKULU kuandika habari bila uthibitisho mbona hamjaweka mbowe na Mwogamba wakipigana ngumi no wonder linasomwa na familia ya ridhiwani tu
 
mzalendo ccm inaanguka 2013 sasa hivi unauza kopi 13 sijui wakati huo itakuwaje kufutika kabisa kikao cha kutoa ukurasa wa mbele habari ya uongo tuonyeshe mbowe akipigana zaidi munawafanya wananchi wajue ni propaganda
 
mwananchi upashukuna hamuuwezi ni kweli sasa munauza kama copy 40,000 hivi mukiwaacha mbali Nipashe na Tanzania daima lakini haina maana mukiendekeza ujinga wa shushu wenu Denis Msakky kuweka kichwa kisichokuwa na maudhui mutaanguka
 
Mnabisha kitu gani, wakati bungeni tunaona live wanavyozirusha??!!


Wapuuzu hawa kamwe hawatoongoza nchi
 
CDM ni mwiba mkali sana kwa CCM! Kila mbinu zinatumika ili kuisambaratisha CDM kama Ukanda, ukabila, Udini, Ugaidi, Ufisadi, mabomu na B7 Lumumba Project! Tayari mbinu hizi zimeshagota na zimeshindikana vibaya sana, kwani CDM ndio kwanza inashamiri!! Sasa wanapiga mayowe ya kutaka Demokrasia ndani ya CDM. Mbinu hii nayo itashindikana pia!!
 

Wameajiriwa na wachaga au wapi kwenye kampuni ya kichaga
 

Wewe acha sound mbowe kupigana na mwigamba ni mkono wa CCM?
 
mwananchi upashukuna hamuuwezi ni kweli sasa munauza kama copy 40,000 hivi mukiwaacha mbali Nipashe na Tanzania daima lakini haina maana mukiendekeza ujinga wa shushu wenu Denis Msakky kuweka kichwa kisichokuwa na maudhui mutaanguka

Mwananchi ni gazeti huru sio kama tanzania daima aka udaku na uzandiki!
 
Bavicha wananjaa kali walitaka kupora laptop ya Mwigamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…