MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Duh hapa atujawakabidhi nchi. Je tukiwakabidhi nchi si ndio watarushiana mabomu kabisa.
Nani awakabidhi Nchi? utawapa nchi wahuni wewe? wanapigana, hawajui hapa ni bungeni, hapa ni kwenye kikao cha chama, wao ni masumbwi tu!