Mbowe, Mwigamba watwangana ngumi Arusha

Mbowe, Mwigamba watwangana ngumi Arusha

Nashangaa wanao bisha sijui wanabisha nini. Haya lazima yangetokea baada ya ile post ya wito kwa wanachadema...
 
Si umeishaambiwa Mbowe anaendesha Chadema kama familia yake, ruzuku ndiyo hizo zinanunua majengo Dubai na South Africa.

Naulizia chanzo cha taarifa mkuu. Hata kama kuna madai hayo kupigana ni kinyume na katiba,taratibu na kanuni za chama. Upo utaratibu wa kuwasilisha malalamiko,hili halitakubalika na lazima nidhamu ichukue mkondo wake.
 
Eti, Mbowe nae ni Mwenyekiti wa Taifa wa Chama fulani.....

Kama ilivyo kwa Dr Jakaya Kikwete na Prof. Lipumba. Kazi kweli kweli
 
Nashangaa wanao bisha sijui wanabisha nini. Haya lazima yangetokea baada ya ile post ya wito kwa wanachadema...

hahahaha
naona unafanya kaZi ya profesa maji marefu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mwigamba hawezi kuwa na akili ya kipuuzi hivyo kiasi cha kugombana na mwenyekiti."HAO WOTE NI VIONGOZI MAKINI NDANI YA CHAMA MAKINI".
 
Nimesikia taarifa ya Habari ya Radio UHURU kuwa Polisi wamedhibitisha kumshikilia ndugu MWIGAMBA kwa kosa la kumpiga Ngumi Mh.Mbowe. Kama kuna mwenye taarifa please naomba atuzibitishie hilo
 
Nimesikia taarifa ya Habari ya Radio UHURU kuwa Polisi wamedhibitisha kumshikilia ndugu MWIGAMBA kwa kosa la kumpiga Ngumi Mh.Mbowe. Kama kuna mwenye taarifa please naomba atuzibitishie hilo

Kama ni kweli angempiga kichwa labda kamuudhi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom