Kheee anampiga mwenyekiti[/QUOTE
Ukifuga majambazi ipo Siku yatakurudi tu. Kwani hao anaowahamasisha kufanya vurugu ulifikiri ndo zitaishia kwa wenzake tu?
Nimesikia taarifa ya Habari ya Radio UHURU kuwa Polisi wamedhibitisha kumshikilia ndugu MWIGAMBA kwa kosa la kumpiga Ngumi Mh.Mbowe. Kama kuna mwenye taarifa please naomba atuzibitishie hilo
Kinachotia moyo ni kwamba post hii imetoka msalani. Hivyo hata hoja iliyobebwa na post hii imepoteza umhimu wake.Ninvyoifahamu CHADEMA huyo adhabu yake inaweza kuwa "MAUTI"
Nimesikia taarifa ya Habari ya Radio UHURU kuwa Polisi wamedhibitisha kumshikilia ndugu MWIGAMBA kwa kosa la kumpiga Ngumi Mh.Mbowe. Kama kuna mwenye taarifa please naomba atuzibitishie hilo
Habari hiyo inatia shaka ukweli wake,maana source pekee iliyotoa ni radio ya magamba,Uhuru FM!siku hizi ID zimekua nyng sana,ninachohis kuna watu wanafungua account zaid ya moja na lengo lao hasa ni kuiharibu JF, hii habari nasubiri nisikie uhakika wake.VIva cdm
Tiiiiiiiiii!!!! du ile miwani ilisalimika kweli?