MBOWE: Mbunge 1 wa CDM ni sawa na wabunge 30 wa CCM: Je ni dalili ya kuishiwa SERA?....

Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA alisema ARUMERU huku akimpigia debe mgombea wa chama chake kuwa mbunge 1 wa CDM ni sawa na wabunge 30 wa CCM , watu wengi hasa washabiki wa CDM wameanza kuitumia kauli hii bila kujua alitoa wapi vipimo hivyo hili limenisikitisha sana.
Kiufupi ni kwamba alichukua Idadi ya wabunge wa CCM na kugawa kwa wabunge wa CDM na akapata on average ratio ya 1:30, sasa kama kwa mtazamo wa MBOWE kama hicho ni kipimo sahihi vipi UDP maana mbunge mmoja wa UDP ni zaidi ya wabunge 200 wa CCM hapo napo pamekaaje maana ratio ni 1:>200?

Huu ni uthibitisho wa kuwa sera za chama zimeisha na yaliobaki ni MAIGIZO tu, ninawaomba vijana walio CDM muangalie kutake over hii post hali sio nzuri hata kidogo, mpeni nafasi mwenyekiti wenu kuendelea na biashara huku akiwa mshauri wa mapato n.k.

Mwisho nawaomba wapenzi wa CDM muwe makini na kauli za viongozi wenu msizitumie maana nimeona JF watu wameanza kuzitumia bila kujua zinatoka wapi.

Namuunga mkono Peter Kuga Mzirai uraisi 2010

Ni hayo tu.

Fungua mlango Israel anakujia...
 
Akili zako ni kama nanga ya meli .Maana ikitupwa majini haijiuklizi inazama tu hadi matopeni .
 
Back
Top Bottom