Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,656
- 218,145
Habari ndio kama mnavyoiona
Huyu jamaa kwisha kazi yake.
Karibu sanaHuyu jamaa kwisha kazi yake.
Amekumbuka shuka kumekucha!
Fikiria kuwa hotuba za wapinzani zinavyopendwa na wanaCCM,wanawatuma agents wao kurekodi zote ili wafanye references za kilichoongelewa.Uzuri ujumbe unawafikia bila chenga.Masikio ya Sabaya yote yatakuwa kwenye huo mkutano, anamvizia Mbowe aseme tunataka tume huru wamkamate kwa uchochezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amekumbuka shuka kumekucha!
[/QUOTE
Hujitambui
Jamaa yako anahangaika kumkamata ili kumpunguza makali Wewe unasema kwisha habari Yake? Kazi unayoHuyu jamaa kwisha kazi yake.
WE WE JAMAA NDIO KWISHA KABISA UNA WIVU WA KIKEHuyu jamaa kwisha kazi yake.
nani kakudanganya ?Amekumbuka shuka kumekucha!
Shauri yako.Jamaa yako anahangaika kumkamata ili kumpunguza makali Wewe unasema kwisha habari Yake? Kazi unayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ombi : Utoaji mimba uruhusiwe na serikali ili kuwanusuru wazazi na aibu kama wanayoipata wazazi wa kijana huyu