Mbowe kutikisa Viwanja vya Kware Jumapili hii

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,368
217,416
Habari ndio kama mnavyoiona

- TumeHuruyaUchaguzi  - NoHateNoFear  - Chadema ( 457 X 640 ).jpg
 
Masikio ya Sabaya yote yatakuwa kwenye huo mkutano, anamvizia Mbowe aseme tunataka tume huru wamkamate kwa uchochezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fikiria kuwa hotuba za wapinzani zinavyopendwa na wanaCCM,wanawatuma agents wao kurekodi zote ili wafanye references za kilichoongelewa.Uzuri ujumbe unawafikia bila chenga.
Wapinzani ni watetezi wa haki,ukweli na uwazi,mambo haya ndiyo yanawafanya waendelee kupata uungaji mkono.
 
Back
Top Bottom