kumbe ndio maana fast jet safari haziishi na mara nyingi anaambatana na kinana
Ni katika kuchangia hotuba ya mali asili na utalii!amesema vyombo vya usalama na viongozi waandamizi wa chama na serikali ni wahusika wakuu!amesema kilo moja ya meno ya tembo inauzwa kati ya dola 3500 mpaka 4500 hali inayohatarisha usalama wa tembo hapa nchini!
Mia, kweli ccm na serikali yake wanatuadaa wananchi mala ulinzi wa tanapa.sasa kwa hoja hii najiuliza yanini kuwa na ulinzi kwenye mipaka wakisubiri kuona magunia ya pembe
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
hasante, hilo jambo nimelifikiria pia, kama jambo hilo linawezekana bora likatumika meno yavunwe bila kumuua tembo labda tutawanusuru tembo wetu.Hivi hakuna technolojia ya kuwang'oa meno wakawaacha waendelee kuishi?. ..
Hahahahahaaaa!!!Kinana atasema kiwanda ni chake lakini hayo meno sio yake
kauli ya kuwavua nguo aise!! naona wamejisikia aibu sana, kumuacha Kinana na Nchimbi watumalizie Tembo, kwa hili haikubaliki, tunaanza na wao kwanza!Kamanda Mbowe amesema hii ni organized crime, lazima serikali ije na mkakati au mpango maalum wa kuushughulikia uhalifu huu!
Amewauliza jamaa, "hivi ninyi kama mawaziri na serikali mnajisikiaje mnapoambiwa ni 7 years to come ndovu wote watakuwa wametoweka nchini, miaka michache ijayo barafu ya mlima Kilimanjaro itakuwa imeyeyuka yote na haitakuwepo tena, na utalii ndiyo sekta namna moja katika kutuingizia fedha za kigeni, hivi ninyi serikali ya CCM mnajisikiaje mkisikia habari kama hizi."
Kinana anaogopeka sana, unaweza kutusaidi ni kwanini ziara zake za kichama, hufanya kwenye mikoa nyenye mbuguga tu?Maneno ya vijiweni anayapeleka bungeni anajiaibisha sanaaaaa
Mheshiwa Mbowe amewambia magamba kwamba wao wasifikri meno ya tembo inasafirishwa yakiwa mazima. Kawaambia inasagwa na viwanda viko humu humu nchini. Unga huo unasafirishwa kwa ndege na viongozi wa serikali wanashiriki ndio maana hali inaendelea kuwa mbaya kila kukicha.
hasante, hilo jambo nimelifikiria pia, kama jambo hilo linawezekana bora likatumika meno yavunwe bila kumuua tembo labda tutawanusuru tembo wetu.
Hivi hakuna technolojia ya kuwang'oa meno wakawaacha waendelee kuishi?. ..
Unajua kwanini bwana FUPI anajibu na kutetea kwa haraka? Anategemea huruma kwa msomali jina lake lisiwekewe mizengwe 2015,coz jirani yake Maembe ana mtaji mkubwa nyumbani kwa bwana FUPI,hatetei toka moyoni ila anajitengenezea.Mh Nchimbi hakuwepo bungeni kukanusha hilo? Maana ni yeye ndiye pekee anajifanya msafi wa kubeza ufisadi hapa nchini. To hell with Nchimbinism
Ni katika kuchangia hotuba ya mali asili na utalii!amesema vyombo vya usalama na viongozi waandamizi wa chama na serikali ni wahusika wakuu!amesema kilo moja ya meno ya tembo inauzwa kati ya dola 3500 mpaka 4500 hali inayohatarisha usalama wa tembo hapa nchini!
hasante, hilo jambo nimelifikiria pia, kama jambo hilo linawezekana bora likatumika meno yavunwe bila kumuua tembo labda tutawanusuru tembo wetu.