Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

BABU analo anajitibu kwa siri pale CCBRT.

Lazima utueleze zile karatasi ulizichapisha Arusha zakumchafua Lema kwenye kapeni za Serekali za mita Ulipokea bei gani wewe maana nao ni moja ya ufisadi
 
Usalama wa Taifa wenyewe UKAWA. Ila, UKAWA mtakapochukua nchi, mjipange kutenda haki kama mnavotuhubiria. Suala la kutuwekea ma opportunist kwenye uongozi ndilo linaharibu utaratibu mzima. Tuko pamoja UT, endelea kutuletea maducument.

Bila shaka hao ni maafisa usalama wale waliosemwa na Dr Slaa kuwa wanaripoti kwake
 
Bila shaka hao ni maafisa usalama wale waliosemwa na Dr Slaa kuwa wanaripoti kwake

Hivi afisa Usalama mwenye akili timamu anaweza kupoteza muda wake kwenda kuripoti kwa Mzee Slaa?

Mzee aliyejizolea umaarufu kwa kauli za kilaghai?
 
BABU analo anajitibu kwa siri pale CCBRT.

Jitazame jinsi ulivyo majinuni unajua mpaka mambo ya siri yaliyomo kwenye vyupi vya watu....

Mkwere katutangazia dhahiri shahiri ana tezi dume sasa wewe siri za babu umezijuaje?

Acheni tabia chafu zenye laana hizo mnafanya mirija ya watu izibe
 
wewe uwe na akili kwani zitto ndiye aliyechunguza? uchunguzi ulifanywa na takukuru na CAG, na isitoshe ripoti alipewa jk kwanza akanyofoa kurasa za stanbic ambambo yeye alikua hachomoki ndio akaenda kuoasuliwa kipu.mbu chake

Zito anajua mchezo wote kumbuka walisema bungeni kuwa walikesha wakilinda mzigo usihujumiwe, si kweli kuwa Jk alinyofoa kurasa hizo kurasa labda mbowe alikula njama kwani kule Stanbic Mbowe alipewa Gunia zima kwa kisingizio kuwa wapo wengi atawagawia lakini matokeo yake akawapa Viduchu wakaamua kutoa siri.
 
Hivi afisa Usalama mwenye akili timamu anaweza kupoteza muda wake kwenda kuripoti kwa Mzee Slaa?

Mzee aliyejizolea umaarufu kwa kauli za kilaghai?
Kama ni ulaghai mbona mapovu yanawatoka tulieni mnyolewe
 
Jitazame jinsi ulivyo majinuni unajua mpaka mambo ya siri yaliyomo kwenye vyupi vya watu....

Mkwere katutangazia dhahiri shahiri ana tezi dume sasa wewe siri za babu umezijuaje?

Acheni tabia chafu zenye laana hizo mnafanya mirija ya watu izibe

Mbowe kasababisha umekuwa na Tezi jike, Nenda CCBRT mirija yako ya nyuma ikazibuliwe.
 
kapeni = Kampeni

mita = mitaa

Lema + kileo + mrema wa bungeni + Deus malya +!Mnyika = R.I.P chacha wangwe, hawa watu Laana ya chacha wangwe haibanduka kwao milele bila kusahau baba yao mbowe.
 
Naona baada ya maumivu ya uchaguzi leo Lumumba ndio wametokea nawengine walikua na shukuli maalum yakuchafua watu cc Msalani
 
"Nzi" wa Chadema waliojibanza Ikulu na Wizara ya Nishati wapo hatua za mwisho kabisa kumaliza kukusanya nyaraka muhimu vivid evidence juu ya ufisadi mkubwa uliofanywa katika mradi wa Bomba la Gesi.

Bomu hili linalotegemewa kulipuka mda wowote linaweza kusambaratisha CCM.

Aidha wahisani wameshadokezwa kuhusu uwizi huu pamoja na usanii wa Escrow.

Baki hapa hapa JF tutakudondoshea soon

ule usemi wa ccm nambari one sasa basi, go on ukawa!
 
Lema + kileo + mrema wa bungeni + Deus malya +!Mnyika = R.I.P chacha wangwe, hawa watu Laana ya chacha wangwe haibanduka kwao milele bila kusahau baba yao mbowe.
hao ulio wataja ndio wanao wanyonyoa vizuri mafisadi
 
Isambi si ka nunu , kuna mijitu akili yao ni kutunga story hivi kwanini mnapenda kutumiwa na mwenye mavyombo ya matangazo na shabiki wa Mfaume wa chama cha Mkwewe .Kwani kwasasa anatumia vyombo vyake kushawishi migogoro wakati dili zake ni sembe .Acheni kumfagilia mpiga dili huyo hana uzalendo wowte .Mfaume mwenyewe kageuza chama SACOSS ya kujkopesha ili kula ujana south na siyo kukopeshana - Fisadi chama kweli bora chama fisadi .Hna uwezo wa kulipua mwenyewe ni Fisadi namba moja:rain:
Pesa za Ruzuku kanunua Nyumba south Africa na pesa za escrow anajipanga kwenda Doha kununua nyumba ingine au ikishindikana atanunua nyumba ingine Darban hii ni kwa mujibu wa ndugu yake wa Damu Mnyika.
 
Mbowe kasababisha umekuwa na Tezi jike, Nenda CCBRT mirija yako ya nyuma ikazibuliwe.

Teh teh teh naona mipini imekuingia unapiga yowe...

Umeanza babangu...ukaja babu now umehamia kwa mbowe teh teh teh halafu hao watu hawanigusi kwa lolote.....

Unajipa kazi ya bure kumvisha nguo MTU aliyeamua kwa ridhaa yake kukaa uchi...

Mwenzenu kasimulia bila aibu jinsi tezi dume lilivyomtafuna na alivyohangaika nalo... Mpaka Kaunda kikosi kulitangaza kwa upana zaidi sasa wewe kinakuuma nini??

Pole Sana MPE hi tezi dume mwambie ESCROW haijaisha bado bomba la gesi.....
 
Back
Top Bottom