Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,514
- 42,649
Babako hana Tezi dume?
Analo unalitaka?
Babako hana Tezi dume?
Rais alisema ukiona mtu hashughurikiwi ujue hana madhala, lakini kila kitu kinajulikana anategemea huruma ya wananchi. Mwisho wake ni mwakani subiri tu..
Ila hawa jamaa mi nadhani wamevurugwa,wanatuhumu ufisadi wa Mh.Mbowe kwemye ruzuku ya chama,mbona hawaleti ushahidi kama wenzao wafanyavyo?
Chademaaaa,kamata mwizi men
Analo unalitaka?
haaah,haaah mkuu unaua,nakukubali sana siku iziJamani tumwache tezi dume apumue maana mshono utachanika
Mkebehi babako, usimkebehi Rais wetu.
Rais wako anapenda kebehi ndio maana tunamkebehi...
Alijitahidi Sana nchi nzima iimbe tezi dume tusahau ESCROW kashindwa.... Hukuona zile posters diamond jubilee kuhusu tezi dume??
Nakushangaa we kunguru Wa Zanzibar kuona kebehi kumwita tezi dume wakati mwenzio anapenda.....
Acheni michezo michafu inayowaziba mirija wenzenu....
Ccm na Bila wizi Hawawezi kuishi, kusitisha wizi CCM Ni sawa na kuwakausha damu...........tunasubiri taarifa zaidi tushawachoka Hawa wezi.
Buku 7 wanajitahi kuharibu mjadala
Yaonekana unapenda kufanyiwa hiyo michezo.
tumesha choka Hamna habar nyingine
Kamata Mbowe kwanza men. ! Ushahidi upi mbona Zito hajaleta Ushahidi wa Stanibc bank? au kwa kuwa aliona Mbowe yumo akamlinda kwa kuhofia kumuuzi boss wake Mengi ambaye ni ndugu yake Mbowe na Mtei.
Waulize wenye kansa za tezi dume....
Mbowe kwa kulipua ndiyo fan yake kama alivyolipua mkutano Arusha, ila kwa bomba la gas aangalie asije akapoteza maisha si unajua gas inalipuka vibaya?
"Nzi" wa Chadema waliojibanza Ikulu na Wizara ya Nishati wapo hatua za mwisho kabisa kumaliza kukusanya nyaraka muhimu vivid evidence juu ya ufisadi mkubwa uliofanywa katika mradi wa Bomba la Gesi.
Bomu hili linalotegemewa kulipuka mda wowote linaweza kusambaratisha CCM.
Aidha wahisani wameshadokezwa kuhusu uwizi huu pamoja na usanii wa Escrow.
Baki hapa hapa JF tutakudondoshea soon