ccm wakiendekeza huu ujinga wa kila hoja inayoibuliwa na wapinzani kujadiliwa bungeni watafanya makosa makubwa sana
There is nothing more frightful than ignorance in action!!
ccm wakiendekeza huu ujinga wa kila hoja inayoibuliwa na wapinzani kujadiliwa bungeni watafanya makosa makubwa sana
kwa hiyo hata hao wa stambiki mmeamua kuficha
naunga mkono..nyundo baada ya nyundo hadi wasalimu amri. mambo gani haya! utawala umehalalisha ufisadi. rais badala ya kuona ufisadi haoni amepofuka. sasa tuseme upofu unasababishwa na nini?!. kwa mtindo huu maisha bora kwa wananchi ni ndoto. ccm kwa sasa imekua mbia na wanyonyaji wezi na mamepepari uchwara."Nzi" wa Chadema waliojibanza Ikulu na Wizara ya Nishati wapo hatua za mwisho kabisa kumaliza kukusanya nyaraka muhimu vivid evidence juu ya ufisadi mkubwa uliofanywa katika mradi wa Bomba la Gesi.
Bomu hili linalotegemewa kulipuka mda wowote linaweza kusambaratisha CCM.
Aidha wahisani wameshadokezwa kuhusu uwizi huu pamoja na usanii wa Escrow.
Baki hapa hapa JF tutakudondoshea soon
Walipue mara ngapi kamanda wakati Dr.Slaa alishalipua alisema mambo ya gesi yametoka Mtwara yameelekea Ulaya."Nzi" wa Chadema waliojibanza Ikulu na Wizara ya Nishati wapo hatua za mwisho kabisa kumaliza kukusanya nyaraka muhimu vivid evidence juu ya ufisadi mkubwa uliofanywa katika mradi wa Bomba la Gesi.
Bomu hili linalotegemewa kulipuka mda wowote linaweza kusambaratisha CCM.
Aidha wahisani wameshadokezwa kuhusu uwizi huu pamoja na usanii wa Escrow.
Baki hapa hapa JF tutakudondoshea soon
kwa akili yako ndogo unadhani unaisafisha CCM,Wememstili mbowe kwani ndiye alibeba kwenye Gunia kwa gia kwamba awapelekea akina UKAWA na cc wake lakini inasemekana aliwapiga panga na kuwapa vidola kidogo ndiyo maana wakaamua kuvujisha siri. Tambua Mgao wa stanbic wengine walipewa kwa mifuko ya rambo Lakini Mbowe alipewa kwenye Gunia.
wakati hayo yanafanyika vyombo vya ulinzi kama usalama wa taifa vilikuwa wap hadi hayo yanatokea?Wememstili mbowe kwani ndiye alibeba kwenye Gunia kwa gia kwamba awapelekea akina UKAWA na cc wake lakini inasemekana aliwapiga panga na kuwapa vidola kidogo ndiyo maana wakaamua kuvujisha siri. Tambua Mgao wa stanbic wengine walipewa kwa mifuko ya rambo Lakini Mbowe alipewa kwenye Gunia.
wanacholipua ni ufisadi uliyofanyika hususani gharama za ujenziWalipue mara ngapi kamanda wakati Dr.Slaa alishalipua alisema mambo ya gesi yametoka Mtwara yameelekea Ulaya.
.... Mwaka Huu Watakojoa Damu Na Dagaa. Ccm Wezi
wacha weeWalipue mara ngapi kamanda wakati Dr.Slaa alishalipua alisema mambo ya gesi yametoka Mtwara yameelekea Ulaya.
He should keep it low key for a while, he is reeling from a love child scandal, I mean give me a break.
Sitaki kujadiri hii issue kikabila, ila wachaga wanatabia ya hila ya kujipendekeza pendekeza ili mambo yao yaende, japo ni ngumu sana maana hao wafadhili nao watawabana wakati ukifika
Kweli hali ya hewa ya nchi yetu ni mbaya sana tuiombee jamani
nenda kwa wakatoliki .wanawajuwa dr
slah ninani.hawataki aibu.lakini wanamuogopa kama ukoma .kwa wizi aliyofanya.