Teh teh, kwa hiyo wana ilemela wana meya jambazi?
Nawaonea huruma hao vijana,na siku hiyo ndio watajua chadema ni nini.
mkuu sixgates usikubali kuja mwanza na vimabango vyako utakufa mdogo wangu! ohooo
mbona chadema majanga kila siku cjui nihame!!
Taarifa nilizozinasa kutoka kwa mmoja wa viongozi wa CCM mwanza ni kuwa yule mtu anayeitwa MATATA ni diwani sijajua wa kata gani mwanza ameandaa vijana zaidi ya 70 ili kufanya fujo wakati wa ujio na mkutano wa Mbowe mwanza.
Matata amabaye kama jinsi jina lake lilivyo anatajwa kuwa ni mtu hatari sana ambaye anaweza kukutumia watu muda wowote na kukudhuru ni huyuhuyu ambaye mwaka huu alimtishia Mbunge wa Ilemela Kiwia kuwa anaweza asimuuwe yeye mwenyewe ila kuna watu wanaweza kumuua.
CHADEMA chukueni tahadhari sana.