Lyatongaok.
huyo Ryatonga ni wawapi gentleman?š
Lyatongaok.
huyo Ryatonga ni wawapi gentleman?š
Huyo Lyatonga Mrema ana nafuu kubwa sana kuliko Mbowe,
Mrema alishawahi saliti umma hadharani?Kwa kweli.
-MboweMbowe amezidiwa na Lipumba baada ya kustaafishwa siasa na Lissu sasa kaamua kumaliza siasa kama Ryatonga Mrema. Huruma yangu kwa watoto wa watu waliofariki wakijua Mbowe ni mwanamabdiliko ya kweli šš Huyu mzee anaweza kua nyuma ya mauaji yote na ya Mzee ally kibao na wengine wote Ben saa 8. Lissu amekuja kukomesha siasa za kitapeli na Udalali kudanganya umma na demokrasia ya uongo. Lissu angekua ni mcheza mpira ni Mess au Ronaldo ndo level zake Ronaldo aliwahi kushusha mauzo ya soko la Coca-Cola. Lissu kasababisha Nchi kukosa misaada baada ya kujua wazungu walikua wanapigwa change la macho la uchaguzi hewa na democrasia hewa. Mbowe amegeuka kichekesho kawa Ryatonga Mrema
Amujalie hali ili iweje huku Lissu amemunyanganya ulaji wote.Sio kwa namna Mbowe alivyofanya, hata kama ni demokrasia, ya namna ile sio mkuu.
Hajasema kwamba yeye na chama basi, au kwamba amehama chama, basi hata kumjulia mwenyekiti wake hali huko mahabusu, its not right!!
Ninashukuru kuwa mshabiki wa cdm niliyemstukia kuwa Mbowe ni tapeli wa kisiasa baada ya kumpokea Lowassa. Na nilipiga kelele toka wakati huo huku kukiwa hakuna mwanacdm yoyote ananielewa. Naona sasa hata wanacdm waliokuwa hawanielewi kuhusu Mbowe, sasa tunaongea lugha moja.Mbowe amezidiwa na Lipumba baada ya kustaafishwa siasa na Lissu sasa kaamua kumaliza siasa kama Ryatonga Mrema. Huruma yangu kwa watoto wa watu waliofariki wakijua Mbowe ni mwanamabdiliko ya kweli šš Huyu mzee anaweza kua nyuma ya mauaji yote na ya Mzee ally kibao na wengine wote Ben saa 8. Lissu amekuja kukomesha siasa za kitapeli na Udalali kudanganya umma na demokrasia ya uongo. Lissu angekua ni mcheza mpira ni Mess au Ronaldo ndo level zake Ronaldo aliwahi kushusha mauzo ya soko la Coca-Cola. Lissu kasababisha Nchi kukosa misaada baada ya kujua wazungu walikua wanapigwa change la macho la uchaguzi hewa na democrasia hewa. Mbowe amegeuka kichekesho kawa Ryatonga Mrema
Ninashukuru kuwa mshabiki wa cdm niliyemstukia kuwa Mbowe ni tapeli wa kisiasa baada ya kumpokea Lowassa. Na nilipiga kelele toka wakati huo huku kukiwa hakuna mwanacdm yoyote ananielewa. Naona sasa hata wanacdm waliokuwa hawanielewi kuhusu Mbowe, sasa tunaongea lugha moja.
Kwa kipekee Mbowe alichokifanya ni kuweka democracy mbele katika chama chake na kuhakikisha hakifi.
Kwa sasa atakuwa anatengeneza mbinu za kumuondoa lissu ili apatikane mwenyekiti atakaye kuwa na uwezo wa ku mu control
Wananunulika kwa pesa, Aibu kubwa sana"Mboye" ni mchaga pure, na asili ya wachaga ni upigaji. Mchaga ambaye siyo mpigaji ni yule aliye RIP
Possibly yaliyokuwa yanapangwa ndani ya Chadema kwenye vikao na jamaa akiwa mwenyekiti alikuwa anayafikisha kwa wakubwa wake yeye mwenyewe. Hivi nani alimpendekeza yule mashinji kuwa KM na baadae akapewa kazi kule tisi.Mbowe amezidiwa na Lipumba baada ya kustaafishwa siasa na Lissu sasa kaamua kumaliza siasa kama Ryatonga Mrema. Huruma yangu kwa watoto wa watu waliofariki wakijua Mbowe ni mwanamabdiliko ya kweli šš Huyu mzee anaweza kua nyuma ya mauaji yote na ya Mzee ally kibao na wengine wote Ben saa 8. Lissu amekuja kukomesha siasa za kitapeli na Udalali kudanganya umma na demokrasia ya uongo. Lissu angekua ni mcheza mpira ni Mess au Ronaldo ndo level zake Ronaldo aliwahi kushusha mauzo ya soko la Coca-Cola. Lissu kasababisha Nchi kukosa misaada baada ya kujua wazungu walikua wanapigwa change la macho la uchaguzi hewa na democrasia hewa. Mbowe amegeuka kichekesho kawa Ryatonga Mrema
Wakati mnamtukana kuwa alilamba asali na hastahili kuongoza chama hamkuona leo ndio mnahitaji huruma yake? Na uzuri aliwaambia wazi wazi ponyeni majerahaSio kwa namna Mbowe alivyofanya, hata kama ni demokrasia, ya namna ile sio mkuu.
Hajasema kwamba yeye na chama basi, au kwamba amehama chama, basi hata kumjulia mwenyekiti wake hali huko mahabusu, its not right!!
Amjulie hali lisu aliemtukana ! Lisu anatakiwa amuombe msamaha mboweSio kwa namna Mbowe alivyofanya, hata kama ni demokrasia, ya namna ile sio mkuu.
Hajasema kwamba yeye na chama basi, au kwamba amehama chama, basi hata kumjulia mwenyekiti wake hali huko mahabusu, its not right!!
Possibly yaliyokuwa yanapangwa ndani ya Chadema kwenye vikao na jamaa akiwa mwenyekiti alikuwa anayafikisha kwa wakubwa wake yeye mwenyewe. Hivi nani alimpendekeza yule mashinji kuwa KM na baadae akapewa kazi kule tisi.
Mrema alikuwa mtu smart sana amewazidi hao wengine wote.-Mbowe
-Mrema
-Lipumba
-Zitto
Yaani mwenyekiti wa chama kikubwa na chenye supporters wengi amuombe msamaha chawa wa Samia?Amjulie hali lisu aliemtukana ! Lisu anatakiwa amuombe msamaha mbowe