ok.🐒Lyatonga
Ni aibu sana
Hizo aibu unamuonea wewe? ... msalaba wa matusi, kashfa na uzushi wote wakati wa uchaguzi ndani ya chama ulimsaidia wewe kujitwisha?Ni aibu sana
Sijawahi kuwa na kundi zaidi ya Chademana wewe pia wakusema hivyo? Inasikitisha sana
Wanaccm kumpambania Mbowe inashangaza sanaHizo aibu unamuonea wewe? ... msalaba wa matusi, kashfa na uzushi wote wakati wa uchaguzi ndani ya chama ulimsaidia wewe kujitwisha?
LET HIM PRACTICE HIS FREEDOM OF CHOICE OF WHAT TO DO AND WHEN!
Usinifananishe na vitu vya ajabu! ... nimeamua tu kula pozi kama kamanda wangu Mbowe!Wanaccm kumpambania Mbowe inashangaza sana
Mtatajana tuUsinifananishe na vitu vya ajabu! ... nimeamua tu kula pozi kama kamanda wangu Mbowe!
HEBU PIGENI KAZI WENZETU!
Siku nikiamua kurudi TUTAFUTANE🥰!Mtatajana tu