Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,506
Hawa siyo wakuaminika, walisema Wana Ushahidi kuwa lowasa ni Fisadi lakini leo wamemsafisha, Si ajabu na Ushahidi wake huu anaousema ukawa Feki
bado ule mkanda wa video,soweto nao fake....
yaani huyu mlemavu anataka kupeleka mambo kimafiamafia tu.
hebu wanajeshi mchukueni mtu huyu mkamrushe kichura mpaka akili imkae sawa.