Mbowe in informal meeting with JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe in informal meeting with JK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kimbunga, Jan 18, 2012.

 1. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  By Mkinga Mkinga
  The Citizen Reporter


  President Jakaya Kikwete and Chadema national chairman Freeman Mbowe held informal talks at State House in Dar es Salaam on Sunday, sparking speculation on the agenda. Mr Mbowe, also the leader of the opposition in Parliament, confirmed yesterday that they had a three-hour meeting but said he would give the details only after the burial of Chadema MP Regia Mtema, who died in a road accident at Ruvu in Coast Region on Saturday.

  He spoke with The Citizen at the Karimjee Hall grounds, where he had joined tens of hundreds of people, including government leaders and leaders of political parties, to pay last respects to the MP, who died at the age of 32.

  "It's true that I met President Jakaya Kikwete over the weekend," Mr Mbowe said. "We discussed issues but I cannot go into the details of what transpired between us. Try to find me after the burial of Mtema." State House officials would not confirm the meeting, with the President's assistant press secretary, Ms Premi Kibanga, saying she had been on leave and was not aware of such a meeting.

  The air of secrecy did not go down well in some quarters, with a lecturer at the University of Dar es Salaam, Mr Bashiru Ali, accusing Mr Mbowe of "privatising democracy" in withholding the details of meeting.

  Since Mr Mbowe was a follower of democratic principles of democracy, Mr Ali said, he ought to have publicly declared what was discussed. In politics, he added, there was no such thing as secret or informal talks.

  "I suspect the talks centred on the process of remaking the constitution," Mr Ali added. "Chadema leaders met the President in November last year on the issue and they principally agreed in some areas." His colleague, Dr Azaveli Lwaitama, said every citizen was eager to know what they spoke about. But he speculated that the two leaders might have discussed the formation of the constitutional review commission that will collect views from the people.

  "Basically, the President wants to appoint a constitutional review commission," said Dr Lwaitama. "In order to avoid complaints from various quarters, he has to consult personalities such as Mbowe."
  The don speculated that President Kikwete might have met Mr Mbowe in order to avoid political barbs after he appoints the commission.

  Chadema director for publicity John Mnyika said his party could not speak on administrative issues while mourning their departed colleague. "I cannot comment on anything now as the party's attention is directed to the death of our special seats MP Mtema," Mr Mnyika said. "Wait until we have settled down."

  His CCM counterpart, Nape Nnauye, said he had nothing to say as the meeting was between President Kikwete and Mr Mbowe. "I'm not an astrologer who can predict what transpired between the two personalities," Mr Nnauye declared.
  Chadema leaders held talks with President Kikwete in November 2011 and agreed on principle that the newly passed Constitutional Review Act 2011 bill needed major amendments.

  A joint statement issued by the two sides at the end of two days of consultations said the bill should be improved so as to bring it up to the standards of building national consensus and cohesion.But President Kikwete went ahead and assented to the Bill a month later, drawing protests from Chadema and leaders of civil society organisations.

  In November 2011, Chadema MPs walked out of Parliament in Dodoma as President Kikwete began delivering his speech to inaugurate the 10th Parliament. The President was forced to pause at the podium as Chadema legislators staged the walk-out, reportedly to demonstrate the opposition's stand that it would not recognise the presidential results and the elected President.


  Source: The Citizen

  My take:

  Maalim Seff na Karume walianza hivihivi.

  JK hapendi migogoro ndio maana anakutana na viongozi wa upinzani ili Tanzania iwe mahala pema pa kuishi
   
 2. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Nachukia Ufisadi: Matusi, Uongo, Tetesi na Majungu pia ni Ufisadi; Tujitenge Navyo:rain:
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama anataka pawe mahali pema pa kuishi aanze kwa kuangalia wananchi walivyo na maisha magumu, akifanya hivyo hata migogoro ya kisiasa itapungua bila ya kulazimisha.

  Ngoja tusubiri kusikia toka kwa Mbowe.
   
 4. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  No retreat no surrender, Revolutionist never retire
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Mbowe na viongozi wengine wa CHADEMA msijaribu kuharibu hii process inayoendelea ya kuikataa CCM, sisi Watanzania tunataka waondoke madarakani kama mnaanza mazungumzo ya siri mnatutia mashaka na future ya demokrasi ya taifa letu.

  Sioni kama kuna haja na kufanya mazungumzo na CCM, tunatakiwa tuwatoe, mkianza kutembelea Ikulu kwa siri mnatutia wasiwasi
   
 6. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Atimize kwanza ahadi yake ya 2005 ya maisha bora kwa kila mtanzania.

  Baada ya hapo aanze kutekeleza kwa vitendo kupambana na ufisadi ili uchumi wa nchi usishikiliwe na wachache hadi kutishia usalama wa nchi.
  Akifanya hivyo, hatohitaji kukutana na Mbowe, mambo yenyewe yatajipa na atishi magogoni kwa raha mustarehe.
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Binafsi naunga mkono kikao hicho hata kama ni cha siri.

  Migogoro na manung'uniko hutatuliwa kwa mazungumzo, kwa mwanasiasa aliyekomaa na mwenye akili timamu hukaa na kuzungumza na upande anaopingana nae kile wanachotofautiana ili kuimarisha umoja wao.

  Watanzania wote ni ndugu bila kujali tofauti za itikadi zetu.
   
 8. F2S

  F2S JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2012
  Joined: Feb 16, 2008
  Messages: 216
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Naamini Mbowe hawezi kuingia katika mtego wa kusaliti watanzania. Lazima ajue kwamba CHADEMA sio yake ni ya watanzania ambao wengi wao wana hali mbaya kiuchumi na wana imani na CHADEMA kwamba itawaondoa kwenye huu ufisadi.

  Luck enough CCM wenyewe sasa wanaumbuana na katika mambo wannayoumbuana mengi yameibuliwa na CHADEMA. Mfano ufisadi, posho za vikao, kupanda kwa posho, muswada wa katiba mpya n.k hakuna chama kimewahi kuwa effective kuibana serikali kama CHADEMA tuache ushabiki. Ndio maana wenye wivu hujiunga na CCM hata bila kupenda.

  Mkuu Mbowe usituangushe
   
 9. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #9
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu nakumbuka huko Zanzibar walianza kwa muafaka na sasa tunaambiwa kwa sasa Zanzibar ni vicheko tu uchumi unapaa, bei ya karafuu imepaaa watu wanachekelea tu kuelekea benki! Maisha yameanza kuwa bora baada ya muafaka. Huenda JK anataka muafaka.
   
 10. F

  FUSO JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  Mkutano gani tena wa siri wakuu, wakati tuna msiba mzito?

  Asije (JK) akapendekeza tuunganishe vyama ili kuongeza kasi ya maisha bora kwa kila M-Tz kuelekea 2015-- :lol:
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Absolutely.
  Tatizo lake anataka kulazimisha mambo.
   
 12. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,364
  Trophy Points: 280
  i smell betrayal...
   
 13. G

  Gurti JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na Mhadhiri Bashiru Ali, ktk siasa hakuna siri.
  Mbowe asituchanganye, sisi wanachadema tuna hamu ya kusikia kutoka kwake na kwanini alienda kwa siri. Je, viongozi wenzake akina Dr Slaa wanajua hilo? Benefit of doubt.
   
 14. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Najua mbowe ana kahusiano fulani na Kikwete, nina imani Mbowe hatakwenda kinyume na matarajio yetu wWatanzania ya kuitoa CCM na kuitupa mbali milele
   
 15. nahavache

  nahavache JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 869
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  In fact hakuna cha ziada. Ila kilichopo ni kuridhika. Unajua Zanzibar wanachotaka ni kumuona Maalimu kwenye madaraka hata kama kazi haiwezi. Ukiangalia hoja za HR ni sahihi, lakini ndio hivyo, tumsahau tena katika siasa za Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. Maalim Seif hamtaki, na Seif ndiye mwenye chamai.
   
 16. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Watu/Viongozi kukutana sio tatizo jamani, besides Freeman c kasema atazungumza hili after burial of our beloved Regia?rip! tuvute subira naamini hakuna mbaya!
   
 17. kingadvisor

  kingadvisor Senior Member

  #17
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaoibeba Chadema na kusukuma magari yao na kuwabeba viongozi wajiandae kulia kilio sawa na waliobeba CUF na Maalim Seif na wale waliobeba NCCR wakati wa Augustino Lyatonga Mrema.CHADEMA si imara kama watu wanavyoota, saa yoyote before 2015 kitaliza wanachama wake. Anyway time will tell.Lakini 2015 CHADEMA na CUF watapoteza viti vingi vya ubunge.
   
 18. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #18
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Magamba yanaweza kurusha bail na wote tukaimeza tukaanza kumshambulia Mbowe . Tizama, ..Ni wakati gani Rais anaweza kukuita Ikulu ukakataa? Wote hatujui kisa, kama ni siasa atatueleza tu maana anajua umuhimu wake wakati huu na ujao. Asipotueleza tuthoji lakini kasema ataaeleza baada ya mazishi. Why speculating?
   
 19. S

  SON OF DAVID Member

  #19
  Jan 18, 2012
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jumapili iliyopita (15 Jan 2015), Rais JK na Mbowe walikutana kwa siri, kilichojadiliwa pia kikawa ni siri. Gazeti la kiukweli la kimombo' The citizen' limetoa nyeti hizo ukurusa wa mbele bila chenga. Mbowe akaulizwa kwa simu, naye akikri kuwa ni kweli walikutana. Alipoulizwa mlijadili nini akapiga chenga, subiri msiba uishe. Gazeti lilipowauliza wasemaji wa ikulu nao wakatoa nje. Lilipomwuuliza Mnyika wa kueneza chama kuhusu sakata hilo naye akasema hana habari.

  Maswali CHADEMA wanajua kikao hicho? Kama hapana kwanini? Kama siyo, Mbowe atujibu haraka.

  Pili, kikao cha kwanza cha Ikulu ilikuwa public kwanini hii ya Mbowe aifanye siri peke yake?
  Je, JK anamshawishi Mbowe aikubali mchakato feki wa katiba?
  Je, kati yao Jk anawasaliti CCM au Mbowe anasaliti CHADEMA?
   
 20. Sakoyo

  Sakoyo Senior Member

  #20
  Jan 18, 2012
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muafaka kwani ni kitu gani jamani... sielewi? mm nijuavyo ni kuwa lazima pawepo na vita au ugomvi phisically ndo maridhiano yanapotokea tunayaita muafaka, nahisi ss tuna-mapishano ya kauli za kisiasa na hata USA, UK na nchi nyngine zlzoendelea ipo hvyo ss mnaposema muafaka ni upi au unahusu nn, kwamba Mbowe aache mapambano ya kisiasa au......?
   
Loading...