Mbowe na viongozi wengine wa CHADEMA msijaribu kuharibu hii process inayoendelea ya kuikataa CCM, sisi Watanzania tunataka waondoke madarakani kama mnaanza mazungumzo ya siri mnatutia mashaka na future ya demokrasi ya taifa letu.
Sioni kama kuna haja na kufanya mazungumzo na CCM, tunatakiwa tuwatoe, mkianza kutembelea Ikulu kwa siri mnatutia wasiwasi
We unaona nani anasaliti.
jamani si tumeambiwa tusubiri msiba upite kwanza? makamanda wanaongoza mazishi hebu tusiwachanganye jamani.mbowe na viongozi wengine wa chadema msijaribu kuharibu hii process inayoendelea ya kuikataa ccm'sisi watanzania tunataka waondoke madarakani'kama mnaanza mazungumzo ya siri mnatutia mashaka na future ya demokrasi ya taifa letu'sioni kama kuna haja na kufanya mazungumzo
Na ccm'tunatakiwa tuwatoe'mkianza kutembelea ikulu kwa siri mnatutia wasiwasi