Jumapili iliyopita (15 Jan 2015), Rais JK na Mbowe walikutana kwa siri, kilichojadiliwa pia kikawa ni siri. Gazeti la kiukweli la kimombo' The citizen' limetoa nyeti hizo ukurusa wa mbele bila chenga. Mbowe akaulizwa kwa simu, naye akikri kuwa ni kweli walikutana. Alipoulizwa mlijadili nini akapiga chenga, subiri msiba uishe. Gazeti lilipowauliza wasemaji wa ikulu nao wakatoa nje. Lilipomwuuliza Mnyika wa kueneza chama kuhusu sakata hilo naye akasema hana habari.
Maswali CHADEMA wanajua kikao hicho? Kama hapana kwanini? Kama siyo, Mbowe atujibu haraka.
Pili, kikao cha kwanza cha Ikulu ilikuwa public kwanini hii ya Mbowe aifanye siri peke yake?
Je, JK anamshawishi Mbowe aikubali mchakato feki wa katiba?
Je, kati yao Jk anawasaliti CCM au Mbowe anasaliti CHADEMA?