Mbowe in informal meeting with JK

Mbowe in informal meeting with JK

Jumapili iliyopita (15 Jan 2015), Rais JK na Mbowe walikutana kwa siri, kilichojadiliwa pia kikawa ni siri. Gazeti la kiukweli la kimombo' The citizen' limetoa nyeti hizo ukurusa wa mbele bila chenga. Mbowe akaulizwa kwa simu, naye akikri kuwa ni kweli walikutana. Alipoulizwa mlijadili nini akapiga chenga, subiri msiba uishe. Gazeti lilipowauliza wasemaji wa ikulu nao wakatoa nje. Lilipomwuuliza Mnyika wa kueneza chama kuhusu sakata hilo naye akasema hana habari.

Maswali
Je, Dr Slaa na viongozi wakuu wa Chadema wanajua kikao hicho? Kama hapana kwanini? Kama siyo, Mbowe atujibu haraka.
Pili, kikao cha kwanza cha ikulu ilikuwa public kwanini hii ya mbowe aifanye siri peke yake?
Je, JK anamshawishi mbowe aikubali mchakato feki wa katiba?
Je, kati yao Jk anawasaliti ccm au Mbowe anasaliti Chadema?

Habari yenyewe soma hapo chini.

Dar es Salaam. President Jakaya Kikwete and Chadema national chairman Freeman Mbowe held informal talks at State House in Dar es Salaam on Sunday, sparking speculation on the agenda. Mr Mbowe, also the leader of the opposition in Parliament, confirmed yesterday that they had a three-hour meeting but said he would give the details only after the burial of Chadema MP Regia Mtema, who died in a road accident at Ruvu in Coast Region on Saturday.

He spoke with The Citizen at the Karimjee Hall grounds, where he had joined tens of hundreds of people, including government leaders and leaders of political parties, to pay last respects to the MP, who died at the age of 32.

“It’s true that I met President Jakaya Kikwete over the weekend,” Mr Mbowe said. “We discussed issues but I cannot go into the details of what transpired between us. Try to find me after the burial of Mtema.” State House officials would not confirm the meeting, with the President’s assistant press secretary, Ms Premi Kibanga, saying she had been on leave and was not aware of such a meeting.

The air of secrecy did not go down well in some quarters, with a lecturer at the University of Dar es Salaam, Mr Bashiru Ali, accusing Mr Mbowe of “privatising democracy” in withholding the details of meeting.

Since Mr Mbowe was a follower of democratic principles of democracy, Mr Ali said, he ought to have publicly declared what was discussed. In politics, he added, there was no such thing as secret or informal talks.

“I suspect the talks centred on the process of remaking the constitution,” Mr Ali added. “Chadema leaders met the President in November last year on the issue and they principally agreed in some areas.” His colleague, Dr Azaveli Lwaitama, said every citizen was eager to know what they spoke about. But he speculated that the two leaders might have discussed the formation of the constitutional review commission that will collect views from the people.

“Basically, the President wants to appoint a constitutional review commission,” said Dr Lwaitama. “In order to avoid complaints from various quarters, he has to consult personalities such as Mbowe.”
The don speculated that President Kikwete might have met Mr Mbowe in order to avoid political barbs after he appoints the commission.

Chadema director for publicity John Mnyika said his party could not speak on administrative issues while mourning their departed colleague. “I cannot comment on anything now as the party’s attention is directed to the death of our special seats MP Mtema,” Mr Mnyika said. “Wait until we have settled down.”

His CCM counterpart, Nape Nnauye, said he had nothing to say as the meeting was between President Kikwete and Mr Mbowe. “I’m not an astrologer who can predict what transpired between the two personalities,” Mr Nnauye declared.
Chadema leaders held talks with President Kikwete in November 2011 and agreed on principle that the newly passed Constitutional Review Act 2011 bill needed major amendments.

A joint statement issued by the two sides at the end of two days of consultations said the bill should be improved so as to bring it up to the standards of building national consensus and cohesion.But President Kikwete went ahead and assented to the Bill a month later, drawing protests from Chadema and leaders of civil society organisations.

In November 2011, Chadema MPs walked out of Parliament in Dodoma as President Kikwete began delivering his speech to inaugurate the 10th Parliament. The President was forced to pause at the podium as Chadema legislators staged the walk-out, reportedly to demonstrate the opposition’s stand that it would not recognise the presidential results and the elected President.

Source:Mbowe in

My take: Maalim Seff na Karume walianza hivihivi.
JK hapendi migogoro ndio maana anakutana na viongozi wa upinzani ili Tanzania iwe mahala pema pa kuishi

Mi naona wewe mleta mada, ni mmbea na utakuwa na tabia za kichonganishi, ushindwe kwa jina La Yesu.
 
Sikuona uharaka wa hawa Citizen kuandika hii habari wakati wameambiwa wasubiri msiba uishe wapate habari kamili..hizi habari nusunusu mi naziona hazina uzito...

Wako kibiashara zaidi. Walijua kuwa habari hiyo itavuta "wanunuzi" wengi wa gazeti lao.
 
Kwani kuna ubaya gani viongozi hao kukutana?
 
Juu hapo imeshasemwa kwamba ni " informal talks" msipasue sana vichwa kwani viongozi kama hawa kukutana katika informal talks sio ajabu sana. Chukulieni pia Jumapili ni siku moja baada ya Mbunge wa Chadema kufariki. Inawezekana kabisa kamwita kuenda kumpa pole na kujua jinsi ya ushiriki ktk mazishi. Mambo mengine ni ya Kibinadamu zaidi kuliko sisi tunavyofikiria katika mambo ya kisiasa saa zote.
 
Mbowe mbona anajirahisisha kwa huyo jamaa.. Dr. Slaa awezi kufanya jambo kama hilo. Period
 
kwenye kijani si sahihi!!
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD]
jk-mboye.jpg

By Mkinga Mkinga
The Citizen Reporter

Dar es Salaam. President Jakaya Kikwete and Chadema national chairman Freeman Mbowe held informal talks at State House in Dar es Salaam on Sunday, sparking speculation on the agenda. Mr Mbowe, also the leader of the opposition in Parliament, confirmed yesterday that they had a three-hour meeting but said he would give the details only after the burial of Chadema MP Regia Mtema, who died in a road accident at Ruvu in Coast Region on Saturday.

He spoke with The Citizen at the Karimjee Hall grounds, where he had joined tens of hundreds of people, including government leaders and leaders of political parties, to pay last respects to the MP, who died at the age of 32.

“It’s true that I met President Jakaya Kikwete over the weekend,” Mr Mbowe said. “We discussed issues but I cannot go into the details of what transpired between us. Try to find me after the burial of Mtema.” State House officials would not confirm the meeting, with the President’s assistant press secretary, Ms Premi Kibanga, saying she had been on leave and was not aware of such a meeting.

The air of secrecy did not go down well in some quarters, with a lecturer at the University of Dar es Salaam, Mr Bashiru Ali, accusing Mr Mbowe of “privatising democracy” in withholding the details of meeting.

Since Mr Mbowe was a follower of democratic principles of democracy, Mr Ali said, he ought to have publicly declared what was discussed. In politics, he added, there was no such thing as secret or informal talks.

“I suspect the talks centred on the process of remaking the constitution,” Mr Ali added. “Chadema leaders met the President in November last year on the issue and they principally agreed in some areas.” His colleague, Dr Azaveli Lwaitama, said every citizen was eager to know what they spoke about. But he speculated that the two leaders might have discussed the formation of the constitutional review commission that will collect views from the people.

“Basically, the President wants to appoint a constitutional review commission,” said Dr Lwaitama. “In order to avoid complaints from various quarters, he has to consult personalities such as Mbowe.”
The don speculated that President Kikwete might have met Mr Mbowe in order to avoid political barbs after he appoints the commission.

Chadema director for publicity John Mnyika said his party could not speak on administrative issues while mourning their departed colleague. “I cannot comment on anything now as the party’s attention is directed to the death of our special seats MP Mtema,” Mr Mnyika said. “Wait until we have settled down.”

His CCM counterpart, Nape Nnauye, said he had nothing to say as the meeting was between President Kikwete and Mr Mbowe. “I’m not an astrologer who can predict what transpired between the two personalities,” Mr Nnauye declared.
Chadema leaders held talks with President Kikwete in November 2011 and agreed on principle that the newly passed Constitutional Review Act 2011 bill needed major amendments.

A joint statement issued by the two sides at the end of two days of consultations said the bill should be improved so as to bring it up to the standards of building national consensus and cohesion.But President Kikwete went ahead and assented to the Bill a month later, drawing protests from Chadema and leaders of civil society organisations.

In November 2011, Chadema MPs walked out of Parliament in Dodoma as President Kikwete began delivering his speech to inaugurate the 10th Parliament. The President was forced to pause at the podium as Chadema legislators staged the walk-out, reportedly to demonstrate the opposition’s stand that it would not recognise the presidential results and the elected President.

Source:Mbowe in

My take: Maalim Seff na Karume walianza hivihivi.
JK hapendi migogoro ndio maana anakutana na viongozi wa upinzani ili Tanzania iwe mahala pema pa kuishi

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
citizen ni wakenya!!
wakenya walitupiga majungu wakti wa kuuza vipusa mpaka jumuiya ya kimataifa ikakubali hilo jungu!!
therefore Kenyan never been our friend!! siku zote wanatutakia mabaya! ndiyo sababu magazeti yao yoote yamejaa uchonganishi linapokuja suala la Tanzania!!
HEBU angalia sentensi ya mwisho ilivyoandikwa kichonganishi! "ETI CHADEMA HAWAMTAMBUI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO"
 
mbowe na viongozi wengine wa chadema msijaribu kuharibu hii process inayoendelea ya kuikataa ccm'sisi watanzania tunataka waondoke madarakani'kama mnaanza mazungumzo ya siri mnatutia mashaka na future ya demokrasi ya taifa letu'sioni kama kuna haja na kufanya mazungumzo
Na ccm'tunatakiwa tuwatoe'mkianza kutembelea ikulu kwa siri mnatutia wasiwasi

Una akili sana, SALUTE!!
 
Mkuu nakumbuka huko Zanzibar walianza kwa muafaka na sasa tunaambiwa kwa sasa Zanzibar ni vicheko tu uchumi unapaa, bei ya karafuu imepaaa watu wanachekelea tu kuelekea benki! Maisha yameanza kuwa bora baada ya muafaka. Huenda JK anataka muafaka.

Mbowe na makamanda wote wanajua kuwa Chadema hakuna msamiati huo, muafaka tunaotaka na tunaofanyia kazi ni kuhakikisha CCM inaondoka madarakani. CCM KUWA MADARAKANI NI JANGA KWA TAIFA LETU
 
Natamani Mazungumzo ya Jakaya na Mbowe walipokutana yalikuwa kama ifuatavyo:

Kikwete:
Kalibu Freeman
Mbowe: Aksante Mkuu
Kikwete: Ebu tupisheni nataka kuongea na Freeman pekee yake
Kikwete: Freeman unajua Watanzania wanatutegemea sana kuwapa maisha bora,sisi kama wanasiasa.
Mbowe: Ndio Mkuu

Kiwete:
Huku kwenye chama changu kidogo,tunamatatizo yetu mengi mengine ni ya kulithi nawe unayajua kama mtanzania mwingine yeyote.Sasa nataka kufanya mapinduzi kama jina la chama changu kilivo,kwa kuwa nakumbuka wakati nachukua Nchi nilisema Wananchii wasije wakafukua makaburi yetu na kuanza kuchapa viboko mifupa yetu kwa matendo ya maamuzi mabaya tuliofanya sisi kama wanasiasa na hasa chama changu.

Mbowe:
Ni Kweli Mkuu,unaweza kuona jinsi gani wananchi wanalia huko mitaani Nchi nzima ,ukweli ni kuwa Nchi imefika kwenye pointi ambayo sio nzuri,kwa upande wetiu tunaona kama tukisimamia kwa ukweli kuhusu jinsi chama chako kinakoipeleka Nchi hakika Tunisia,Libya, Misri na sasa Syria vitakuwa kwenye mitaa yetu uko kariakoo,ngarenalo,makoroboi,mwanjelwa na kwingineko,na hakika kwa malezi ya baba wa Taifa tusingependa na hata mimi binafsi na chama changu tusingependa kufika huko na ndio maana Mzee Mbowe akaniita Freeman yani mtu huru na wewe Mzee Kikwete akakuita Jakaya yani wa Nyumbani.Nafikilia ukiunganisha majina hayo mawili unaweza kupata Mtu alie huru nyumbani.Sote tunajua mtu aliyehuru nyumbani inamaana gani Mkuu.Je ni kweli Wtanzania wako huru nyumbani chini ya chama chako?

Kikwete:
Aaaaaaha Freeman!!!Mfano mzuri nafikili Mungu anasababu kwa hilo,Cha msingi nilichokuitia ni hili swala.Chama changu huko ndani kinamambo mambo mengi sana, lakini kama Mwenyekiti nimekuja na jibu nataka kuwapa wewe na chama chako bahadhi ya wizara na nafasi kwenye tume ya marekebisho ya katiba kwa kuwa hivi karibuni nataka kureform baraza langu la mawaziri.

Mbowe:
Ni sawa Mkuu ,lakini siunajua kama chama lazima niwafakishie kamati kuu ya chadema ushauri wako huo.
Kikwete: Ndio lakini nafasi nazaotaka kuwapa ni muhimu ,kwa kuwa kwa kuwapa nafasi hizo chama chako,itanisaidia kupambana na matatizo ya kukwamua watanzania kutokana na mienendo ya mfumo wa chama changu na kujisahau kwa viongozi wake na watendaji wa Serikali inayoongozwa na Chama.Hivyo nataka kupata concern yako zaidi ili mission hii isikwame kwenye chama chako,kwa kuwa nataka uwe mshirika wangu, yani kwa kifupi lets role the plane.
Mbowe: Nafasi hizo ni zipi Mkuu?

Kikwete:
Kwa kuanzia nataka tuanze na wizara muhimu ambazo zinatakiwa kuibua changamoto,kisha maendeleo yake yataonyesha namna gani tunaweza kusonga mbele.Kwa Wizara kamili na unaibua wake ni kama ifuatavyo:
1: Katiba na Sheria:Wizara lasmi ningependa akae kijana wako yule Tindu Lissu najua tutapata sheria ziatakazo endana na wakati na kuleta mwamko wa kuwajibika nakubolesha mikataba ya madini.
2: Wizara ya Mambo ya Ndani: Unaweza kukaa wewe mwenyewe.
3: Wizara ya Madini: DK Slaa huyu ni muhimu kwa sekta hii na hakika atasimamia sheria nyingi na kuangalia mikataba ya migodi mingi na kuibua changamoto.
4: Wizara ya Elimu: Mnaweza kumpa Zitto kabwe,kwa kuwa ni kijana na anajua uko mbele tunakokwenda kunaitajika elimu ya namna gani kwa kuwa yu kijana.
5: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii: Yule Kijana mnyika anaweza kufaa hapa kumsukuma yule kijana wangu
6: Naibu Waziri wa Kazi na Maendeleo ya Vijana: Hapa akaa kaa binti yenu Halima Mdee,najua huko nako changamoto zitakuwepo
7: Naibu waziri Serikali za Mitaa: Hapa yule Ezekiel Wenje naye panamfaha sana.
8: Naibu Wazir wa Ardhi: Lema,akamsaidia dada yangu Anna pale kwa kuwa yule anamisimamo na dada yetu yule unamjua misimamo yake hivyo hakika wata team up vizuri.

Kikwete: Na sehemu zingine tunaweza kuona kama vile kama inawezekana nikawateua Mzee baregu akawa Katibu wa tume ya Mabadiliko ya Katiba na nafasi nyingine kama nne na zingine tutatoa kwenye vyama vingine na kutoka kwa watu kama Pro Shivji na wengineo kutoka kwenye majukwaa ya kijamii.Hivyo kapime hayo kisha uniambie the way forward ningependa majibu yake yafanyike mapema within one month ili nifanye maamuzi yatakayo wapa watanzania matumaini mapya na kupata nguvu na aina mpya ya utawala itakayo ibua changamoto kwa ujenzi wa Taifa letu.

Mbowe: Sawa Mkuu nimekusikia binafsi nakubaliana na wewe nyumba ni moja sioni sababu ya kugombea fito,ingawa utokea hivyo pale ambapo fito za kujenga nyumba zinakwenda kupikia mbege,wakati tunajua nyumba ni bora kwanza na mbege baadae.Naomba nikashauliane kwanza na wazee wa chama pia kama Mzee Mwasisi huko Moshi,Wazee wetu kama Makani na wengineo ikibidi unipe ruksa niwalete kwako manake uzee nao dawa.Ninaweza kukwama kukubalika kwa kuwa inawezekana ile dhana ya CCM B kule Zanzibar ikajengeka huku hivyo uhalali mzima wa kujenga Nchi ukamezwa na makosa yaliyoonekana kupitia mwenendo wa Zanzibar.Hivyo kukubalina na Wazee kisha wenzangu nao wakaafiki basi tufike sehemu tuseme kwa pamoja Nchi kwanza vyama baadae.Kama tukiangalia vyama sana Taifa tutalifikisha Tunisia,na kwa dhahiri hatuna sababu ya kulifikisha huko.

Kikwete:
Hakika uko hapana shida kabisa ni kukubalina sisi wananchi wanachotaka wao ni maisha bora,na hii habari ya vyama ni sisi wanasiasa ndio tunaendekeza.Mwananchi anataka kuona maisha yake yameboleshwa na ana furaha yeye na jamaa zake na vizazi vijavyo.Hakika nimechoka sasa na habari za malumbano ya Urais yasiyoisha hasa uku ndani ya chama changu.Nikiteam up na upinzani wataamka na nyie mtapata nafasi nzuri ya kuwaonyesha wao na Watanzania kuwa wakifanya upumbavu nanyi mnachukua Nchi kwa kuwa kwa miaka iliyobakia kupitia watu wenu watakao kuwa madarakani wataonyesha uwezo wao kiutendaji na hivyo kuondoa mashaka ya kila mmoja kuwa upinzani si uadui.

Mbowe:
Hakika mkuu,nitalifanyia kazi tukitoka msibani.Ila siunajua Wanachadema walio wengi bado wanaimani kuwa Katibu wangu na nafasi ya Urais,ilikuwa ni pete na kidole.Ili nalo linabidi lijengwe vizuri,nafiklia ni vyema wewe na Katibu wangu mngelimaliza kiutu uzima mkutane nae.

Kikwete:
Hapo ndipo pananiumiza kichwa najua unamjua Katibu wako ni aina ya watu waliokuwa trained kuwa straight forward wakati mwingine kwenye ualisia theory hizo uwa zinakwamisha michakato.Ila na hakika kuwa ni a man of reasoning na logic mimi na yeye tutayamaliza kupitia wazee wa heshima na viongozi wa dini,nitaongea na Sheikh Mkuu na Cardinal Pengo tuone jinsi gani tutakaa meza moja kupata suluhu ya ridhaa yake moyoni tusonge mbele,manake naye ni binadamu anautashi wake.

Mbowe:
Sawa Mkuu kwa upande wangu nitatekeleza yaliyo ndani ya uwezo wangu,na tupeane access ya mawasiliano haraka inapobidi manake ili ni jambo la msingi sana kama ulivyoliona na kulitizima Mkuu.
Kikwete: Hakika ondoa shaka kwa kuwa swala lenyewe ni kuhusu hatima ya Wananchi wetu Mungu ana heri nalo,uzima ndio tunaomba majariwa ya Muumba.Manake siunaona ilivyotokea kwa mtoto wetu Regia alale pema peponi,tulikuwa nae leo muda mchache katuachia kumbukumbu ya maisha yake.
Mbowe: Ni kweli Mkuu Mtoto wetu huyo katuaachia pengo kubwa sana kwa chama chetu na Watanzania kwa ujumla.Ninachoweza kusema tumefanikisha count on me.
Kikwete:Sawa Freeman,naanza mchakato kwangu,zingatia usahihi na utetezi pindi jambo ili likienda public.

Hakika kwa Mazungumzo haya wale wote wanaoipenda Tanzania,hakika watakuwa meno juu na full shangwe,watoto wa kileo wanasema itakuwa ni full bata.Kwa kuwa mchawi mkabidhi mwana alee.Tufike wakati Tanzani iwe yetu sote,Chadema watasubilia mpaka mwaka 2015 mpaka lini,huku mnajua CCM sio Kikwete pekee,kama wakipata nafasi kama hiyo wasiiache kamwe haya ya kuitwa CCM C si kwa kupewa Power kubwa mtapoteza mengi,huko CCM mnajua kuna miungu watu,si mnajua kampaini zao zilivyoanza.
 
Habari hii imeandikwa kwa lengo ovu .......na ni mkakati wa baadhi ya watu ndani ya serikali na ndani ya vyama vya siasa yaani CCM na CDM kutaka kukwamisha ama kuchafua hali ya hewa kwenye vyama husika.

Kama Mbowe , alienda kumjulisha rais kuhusiana na taratibu za msiba wa Regia itakuwaje? kwani ni siku hiyo hiyo na baada ya muda JK kaenda nyumbani kwa familia ya marehemu kutoa pole? Badop naungana na wengine waliosema kuwa tuvute subira kwani Mbowe kaahidi kuwa atasema baada ya msiba ama walikutana na nini walichokuwa wanazungumzia .

Gazeti hili ndio hilo hilo limeandika uwongo mwingine kuwa marehemu Regia ndio alitoa hoja kwenye kamati kuu juu ya kukutana na JK , ila ukweli ulikuwa kuwa hilo lilikuwa pendekezo lililotolewa na Secretariat ya chama kati ya mapendekezo 3 yaliyopelekwa kwenye kamati kuu .
 
Nilishasema Chadema anayeaminika ni Dr. Slaa tu na asipokuwepo huyo mimi sikipigii kura chadema hakiyamungu

Time will tell kama Dr.Slaa ni wa kuaminika Chadema.I have no more comments.
 
Hapa kuna kila dalili za Chadema kuwa ccm C, mbowe inasemekana aliongea na wakakubaliana na pinda muafaka wa arusha japo bade aligeuka. zitto ndo huyo ashabebwa na ccm, Mbowe anaelekea huko sasa sijui ni nani atatutetea watzzzzz!!
 
In fact hakuna cha ziada. Ila kilichopo ni kuridhika. Unajua Zanzibar wanachotaka ni kumuona Maalimu kwenye madaraka hata kama kazi haiwezi. Ukiangalia hoja za HR ni sahihi, lakini ndio hivyo, tumsahau tena katika siasa za Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. Maalim Seif hamtaki, na Seif ndiye mwenye chamai.

Wazanzibar walikutuma uongee hivi au maoni yako binafsi?? usiusemee umati,kwa HR Zanzibar ameshasahauliwa wanaongea mambo mengine,sasa ww endelea kasumba zako.
 
Kwani ndio mara ya kwanza Mbowe kwenda kunywa juisi Ikulu?

Inasemekena hawa jamaa ni marafiki sana.
wanasema Mkuu wa Kaya huwa anazuka Billicans, (kwa siri)
ndio maana hadi leo Mbowe hajapigwa mabomu wala kupata kasheshe za nguvu kama wenzake.
No wonder.
 
Huenda walikuwa wanapigiana dili za mademu au biashara. Wote wale ni wafanya biashara. You never know. Waacheni wale jamaa wana mambo mengi
 
Mbona waTZ mnaviherehere namna hii, kama jamaa kweli amekutana na Rais na amesema ataeleza yaliyo jadiliwa baada ya mazishi sasa nyie mnaharaka gani? Hapa JF kila mmoja anakuja na stori yake na Nyie wanaCDM humu JF kwanini hamna imani na viongozi wenu?

Subirini mazishi yaishe halafu ndio mje hapa kurusha madongo.
 
Back
Top Bottom