Mbowe augua ghafla, awahishwa Muhimbili

Mbowe augua ghafla, awahishwa Muhimbili

Mungu anakulinda kamanda. Usihofu tuko nyuma yako na sala zetu . Pole sana
 
anaendelea vizuri..amezungumza na waandishi wa habari punde

attachment.php
 
Iko haja kwa viongozi wa kisiasa wanaotaka kwenda ikulu kupimwa afya zao ikulu isije geuka kuwa wodi ya wagonjwa mahututi

Hujasikia ameugua ghafla. Au wewe kwa mwaka mzima unaweza kupita bila hata ya mafua? Unaweza ukajikuta mzima leo kesho ukaamka maiti.
 
Tuweke akiba ya maneno
waweza mnyooshea mwenzako kidole kimoja ni mgonjwa
wewe vikakutizama vidole vitatu ukawa mgonjwa zaidi
mtu hapendi kuugua na wewe huwezi furahia mwenzako akiwa mgonjwa
watch it out

Kweli kabisa mkuu
 
Mh.Mbowe tunakuombea MUNGU akuponye na akulinde katika kila njia unayopita kipindi hiki ambacho kitakuwa na misukosuko maana wewe ni kiungo muhimu katika ukawa na chadema.
 
Tukisema viongoz wenu wagonjwa mnakataa ,haya msafara kidogo kalazwa
 
Haya sasa, hawa ndio wanao ipiga vita ccm kuwa hakuna ilicho kifanya lakini jamaa kaugua kidogo tu akakimbilia muhimbili.
 
Mungu mponye ZERO aje aendelee kuwaburuza makaptura yake, japo ajabu mungumtu kuugua hahaha
 
Kwani Mujimbili hospitali ya ccm? Na jee wewe unaona sawa hospitali kuu ya taifa baada ya miaka 50 ya Uhuru bado kuna watu wanalala chini? Kumbe acha tuu muondolewe maana kama hata jambo kama hili hamlielewi?
 
Mungu mponye ZERO aje aendelee kuwaburuza makaptura yake, japo ajabu mungumtu kuugua hahaha

Ugonjwa kawaida kwa binadamu. Ndio maana hata mungumtu Ayatu.laa alipata malaria kipimo kikasema ni 3000, nasikia kule India yule daktari aliyegundua idadi hiyo ya malaria ya ayatul.aa ndiye akarukwa yeye na akili.
 
Sasa ndugu yangu Chakaza mbona unajifanya mtu wajana wakati wewe wakitambo! unajua kaulizote za ZTT moja atakaye jaribu kumchacha wangwe ajue hakutabaki hata sisimizi kwake, huyo docta ali kama alichizi nikwa upumbavu wake hawezi kudanganya apewe sifa na majuha utegemee adhabu yake nini? Mwanadam kuugua si ajabu lakini kwa nini MUNGUMTU AUGUE GHAFLA!! Hahaha akirudi mwambieni Tunamungu mmoja tu
 
Last edited by a moderator:

Back
Top Bottom