Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,148
- 7,412
Ugua pole kamanda
...naam kamanda, alikomboe kutoka mikononi mwa MAFISADI)))aaagh! samahani, kutoka mikononi mwa CCM.
Mgonjwa huyo
Kapigwa Kifafii nini? 😂😂😂
Tuweke akiba ya maneno
waweza mnyooshea mwenzako kidole kimoja ni mgonjwa
wewe vikakutizama vidole vitatu ukawa mgonjwa zaidi
mtu hapendi kuugua na wewe huwezi furahia mwenzako akiwa mgonjwa
watch it out
Tuweke akiba ya maneno
waweza mnyooshea mwenzako kidole kimoja ni mgonjwa
wewe vikakutizama vidole vitatu ukawa mgonjwa zaidi
mtu hapendi kuugua na wewe huwezi furahia mwenzako akiwa mgonjwa
watch it out