Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,507
Lazima ukose hewa pale watu walijaa mno!kama wale wote ni vibaka kwa kweli hatuna budi kuiondoa ccm madarakani kwani imezalisha vibaka wengi mno! Na hapo ni dar tu sijui huko kwingine,. We need chaaaaange!!
asikose hewa lowasa mwenye afya ya tia maji tia maji,akose mbowe ambae yuko fit?...
huyo ni mgonjwa.
cheki picha ya jana akiongozaba na lowasa na mbatia kwenda kupanda gari kama sikosei inaoneka kapungua kidogo...