Mbowe augua ghafla, awahishwa Muhimbili

Mbowe augua ghafla, awahishwa Muhimbili

Ugua pole Kamanda Freeman Mbowe na hatuna wasiwasi kwa kuwa mkeo mrs Dr. Lilian Mtei Mbowe (Dr of Medicine) atakuwa karibu na mabingwa wengine wa matibabu Muhimbili hospital kuhakikisha unarudi katika hali ya afya njema haraka.
 
Pole sana mpiganaji usiye choka. Taifa zima limeona jana maamuzi yako nakuombea afya njema na Mungu akulinde upate nafuu urejee kwenye siasa kama kawaida.
 
Ndo mara ya kwanza nasikia Mbowe anaumwa.!

Huyu Kamanda ni mpoganaji kwelikweli, Ukiangalia kwa haraka haraka, Mwezi wote wa nane ulikuwa nyeti na Busy sana kwa Mbowe kufanya kazi mfululizo bila kuchoka wala kupumzika, mara nyingine kazi hizo zilipelekea kufika usiku wa manane na kuamka asubuhi yake kama saa kumi na mbili kuanza kazi nyingine.

Kiufupi Kamanda kapambana. sana bila kupumzika, hali hii ya kuugua ghafla ilitarajiwa. Mungu akupe wepesi upone haraka na kurudi ktk majukumu yako haraka.

Get well Soon Comrade Mbowe.

BACK TANGANYIKA
 
Get well soon kamanda, taifa linakutegemea na hasa katika kipindi hiki muhimu.
 
Mungu na amponye haraka ili ashuhudie kitakachompata Oktoba. Dhambi ya rushwa haiwezi kumuacha hivihivi.
 
Pole sana kamanda uwepo wako ni muhimu sana siku ya kuapishwa Dr Magufuli kuwa Rais wa tano wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
 
Jembe la UKAWA hilo,wenye wivu kama ZZT na Prof Bachara akiwa Kigali wajinyonge.Pole Kamanda Mungu akuponye haraka urudi upige kazi.Wenye HUSDA hawana nafasi.
Badala ya kumpa pole kiongozi wako na kumtakia afya njema, wewe unatafuta wachawi! ZZT na huyo Pro Bachara wanamwekea wivu wa nini huyo kiongozi wako.
 
Back
Top Bottom