Mbowe augua ghafla, awahishwa Muhimbili

Mbowe augua ghafla, awahishwa Muhimbili

Sasa ndugu yangu Chakaza mbona unajifanya mtu wajana wakati wewe wakitambo! unajua kaulizote za ZTT moja atakaye jaribu kumchacha wangwe ajue hakutabaki hata sisimizi kwake, huyo docta ali kama alichizi nikwa upumbavu wake hawezi kudanganya apewe sifa na majuha utegemee adhabu yake nini? Mwanadam kuugua si ajabu lakini kwa nini MUNGUMTU AUGUE GHAFLA!! Hahaha akirudi mwambieni Tunamungu mmoja tu

Tuna Mungu mmoja tuu ambaye ndiye atutiaye nguvu tunapotenda mema. Hapo mkuu MOTOCHINI umesema. Na kila mwenye kutenda jema atamtia nguvu kupambana na adui.
Hii imenikumbusha lile janga la wewe kuvamiwa na majambazi, Mungu akakutia nguvu ukatembeza panga mithili ya Rambo na kuwasambaratisha mpaka leo hawaamini huko waliko.
Sasa usibeze wengine nao wakipewa nguvu na Mungu huyohuyo
 
Last edited by a moderator:
Toto la kudeka na kususa susa hilo tangu dogo, halijazowea pirika pirika.

Litakuwa salama, limechoka tu.
 
Tuna Mungu mmoja tuu ambaye ndiye atutiaye nguvu tunapotenda mema. Hapo mkuu MOTOCHINI umesema. Na kila mwenye kutenda jema atamtia nguvu kupambana na adui.
Hii imenikumbusha lile janga la wewe kuvamiwa na majambazi, Mungu akakutia nguvu ukatembeza panga mithili ya Rambo na kuwasambaratisha mpaka leo hawaamini huko waliko.
Sasa usibeze wengine nao wakipewa nguvu na Mungu huyohuyo

Hahahaaaaa mkuu Chakaza umetisha sana.
Halafu ile avatar ya jogoo anayesoma gazeti umepeleka wapi? Irudishe bwana...
 
Last edited by a moderator:
Eti ameamua kujinywea Dawa TU. Ha ha ha ha!!!!

Hahahaaaaa, naona ile picha imetolewa...sio case, ninayo kwa device.
Hawa magamba wakizingua tu na mimi naiweka.
 
...naam kamanda, alikomboe kutoka mikononi mwa MAFISADI)))aaagh! samahani, kutoka mikononi mwa CCM.
Kwa nini kuuma mdomo? Mikononi mwa Mafisadi of course. Kwani ccm ni nini? Si chama cha mafisadi? Chama cha Mapinduzi aliondoka nacho Nyerere.
 
1538936_10153302347978304_1745087086928704575_n.jpg
 
I wish you a fast recovery Mh. Mbowe..Ila ningeomba ujaribu ku-reconcile na Dr Slaa.Majukumu unayobeba sasa ni makubwa, bila Dr Slaa itakuwa ngumu.
 
Ndo mara ya kwanza nasikia Mbowe anaumwa.!

Huyu Kamanda ni mpoganaji kwelikweli, Ukiangalia kwa haraka haraka, Mwezi wote wa nane ulikuwa nyeti na Busy sana kwa Mbowe kufanya kazi mfululizo bila kuchoka wala kupumzika, mara nyingine kazi hizo zilipelekea kufika usiku wa manane na kuamka asubuhi yake kama saa kumi na mbili kuanza kazi nyingine.

Kiufupi Kamanda kapambana. sana bila kupumzika, hali hii ya kuugua ghafla ilitarajiwa. Mungu akupe wepesi upone haraka na kurudi ktk majukumu yako haraka.

Get well Soon Comrade Mbowe.

BACK TANGANYIKA

Hivyo ni vema kuwa wastaarabu kuwa mwili ukichoka mtu anaweza kuanguka na siyo kifafa.
 
Hio ni kawaida kwa watu wa aina ya kamanda Mbowe kuugua ghafla.

Wakati mwingine unakuwa hauli chakula vizuri yaani unasepa mida fulani ya kula, na kufikiri sana kuhusu mikakati huku ukihakikisha kila comrade yupo sawa.

Sasa ana kitu kinaitwa kwa kiingereza Fatigue na atakuwa sawa tu anahitaji mapumziko kama siku mbili tatu tu hivi.

Ni kazi mgumu sana na kwa kweli kamanda wakati huu ndio anahitaji support ya hali ya juu kuliko wakati mwingine wowote ule.
 
Mpeni pole zangu lakini mwambieni apuguze pressure kwani safari ni ndefu tuko August 2015 uchaguzi October 2015
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe alilazimika kukimbizwa hospital baada hali yake ya afya kubadilika ghafla kwenye mafuriko ya jana, pole kamanda Mbowe tunakuombea kwa Mungu upone haraka.

Kiki zingine ni za kitoto and very out of fashion.
 
Back
Top Bottom