GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,584
- 127,934
Mbowe anaendeleaje? Anaumwa nini?
Naomba mwenye taarifa ya alichosema
Ameeeeen mwenyenzi mungu atamlinda na mabaya yote atamfunika chini ya mbawa zake atamlinda km mboni ya jicho kwa sababu n mtumish mwaminifu
Ndio vizuri ajue ni kiasi gani sisi wamachinga tunakula vumbi kila siku ili wakiingia ikulu wajue ni jinsi gani wanaweza kutugaiya mapesa na sisi tutoke juani,,,