Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

Kwani kaiba serkalini c kapewa za bure we zinakuhusu nini au na ww ulitaka kamgao kdg? Kama ameiuza chadema sawa tu mbona mtu mwenyewe aliyouziwa watz wengi wanamkubali?
Mi nakushauri hebu tuletee data za yule anayesafirisha twiga wetu na pembe za ndovu utakuwa umelitendea haki taifa lako badala ya hii hoja dhaifu.
 
Ccm tungeonekana wa maana kama tungesema habari ya Mbowe baada ya kumalizana na fedha tulizobeba kwa viroba kutoka STANBIC.

Vinginevyo tunaonekana tunatapatapa kwa kuokoteza viagenda!.

Turudisheni tu uadilifu wetu wa ccm ya zamani. Haya mengine haya mwisho wake fedheha.

Mnasikia sasa wananchi wawatushushua kwamba hata angehamisha hizo bilioni mbili ni ndogo sana ukilinganisha na bilioni 250 za ufisadi wa Wizara ya Ujenzi.

BTW, sisi tunafedha nyingi sana nje ya nchi, mbona hatusemi? Au wakifanya wenzetu ndiyo haramu lakini kwtu haki?

CCm turudisheni uadilifu na uaminifu wetu wa kwanza. Hii ya propaganda, wala haitusaidii!
 
Kama kuna makosa katika uhamishaji fedha huo basi MBOWE na akamatwe na kufunguliwa
mashitaka ya kusafirisha fedha kinyume na sheria.....wakishindwa basi wajue waliongopa kuleta
taarifa kama hizo kwenye vyombo vya habari. Period.
 
Last edited by a moderator:
Bilioni 2,kwa Mbowe ni pesa ya kahawa hiyo,Mbowe kazaliwa katika utajiri.Kumbuka baba yake Mbowe ndiye aliyemfadhili Nyerere kwenda UK kudai uhuru kwa malkia.
Kuna za Escrow zilizolipwa stanbic tuwekee hapa tuone miamala yake?????
CONSTRUCTIVE THOUGHT
 
Last edited by a moderator:
Sasa anahamisha hayo mabilioni serikali ya Tanzania inafanya nini? Yaani hawana hata aibu kujivua nguo wenyewe. Huyo mtu alitakiwa asogezwe mbele ya vyombo vya sheria ikiwa amekiuka sheria. Wasipomfikisha kwenye vyombo vya sheria basi tutajua kuwa hii stori ni USHAKUNAKU mwingine wa TISS kupitia yule aliyekuwa mwandishi wa habari wa MAJIRA/BUSINESS TIMES aliyepewa ofisi pale TISS.
 
Report gani ya hela kubwa kias hicho haina Sign wala Muhuri? IT masaki @work
 
Hiv ukawa na genge la edo mnaakili timam kweli?? Mnaambiwa mbowe kapiga mzigo ninyi mmekalia ooo majungu, mara dakika za mwisho,

Ki ukweli mnakela sana wakati mwingine, na hapo hamjapewa nchi mkepewa si ndo mtauza hadi ikulu??

Mfano ni huu, edo mpigaji, mbowe mpigaji, sumai mpigaji, kinginge mpigaji, sasa mkiwekwa ikulu si ndo mtapiga deal balaa???

Jaribun kwenda na ukweli, mbowe kapiga mzigo b2, anajua hashindi, wabunge wake hawana pesa, halafu alivyo mnafiki anataka watz waichangie cdm, asee jarbun kumuogopa Mungu...
 
Mtu yeyote mwenye upeo wa kuelewa mambo ukiona chanzo cha habari ni gazeti la Uhuru na Raia Tanzania, hizo habari ziache hapo hapo meza ya magazeti
 
Pesa sabuni ya roho,matusi waliomtukana lowassa kabla ya kuwaahidi pesa wanadhan watanzania wamesahau,watanzania hawapo hivyo jumapili.mambo hadharani
 
Sheria ya kutakatisha fedha ni ya kimataifa, sidhani kama hili lingefanyika akabaki salama. Hilo gazeti ilinajitafutia shida ya bure baada ya uchaguzi, ingawa linaweza kuwa limetimiza lenhomlake la kipropoganda kwa sasa.
 
Utakuta viongoz wa ccm wasivyo na upeo wa kufanya utafiti watalifanya ni reference majukwaani
 
Sasa anahamisha hayo mabilioni serikali ya Tanzania inafanya nini? Yaani hawana hata aibu kujivua nguo wenyewe. Huyo mtu alitakiwa asogezwe mbele ya vyombo vya sheria ikiwa amekiuka sheria. Wasipomfikisha kwenye vyombo vya sheria basi tutajua kuwa hii stori ni USHAKUNAKU mwingine wa TISS kupitia yule aliyekuwa mwandishi wa habari wa MAJIRA/BUSINESS TIMES aliyepewa ofisi pale TISS.

Mkuu kwa kuweka kumbukumbu sawa gazeti halina uwezo wa kumfungulia mbowe mashitaka, gazeti kazi yake ni kutoa habari, sasa hzo kazi zingine zitafanywa na wengine,

Lakin mkuu nikuulize je ni halali kwa kiongozi wa chama kujimilikisha pesa nyingi kiasi hicho?? Huku akidai yy anawapenda watanzania??

Unahitaji elim ya Phd, kujua kuwa hilo ni genge la watu wanaotaka kutumia umasikin kwa tz kujinufaisha??

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Acha ahamishe nyinyi magamba mlizoweka uswisi mtahamisha lini? Si bola mbowe hata kama kapewa hizo hera lakini ni kwa ajili ya ukombozi wa pili dhidi ya mkoloni mweusi.. Songa mbele kamanda wa anga.
mbowe na baba mkwe wametuharibia sana mwaka angekuwa slaa mbona ikulu ingekuwa yetu.

Lakini kumleta lowassa imekula kwetu hata mimi naona mabadilikokwa lowassa hana bora kura yangu nimpe magufuli isije potea bure.
 
Yaani barua hiyo inayohitaji kufanya hiyo transaction haina hata sahihi, sasa ni ofisi gani ambayo inaweza kufanya authentication ya hiyo barua kama imetoka kwa mhusika kama hakuna hata signature?
Mwaka huu ni MABADILIKO TU kwani HAKUNA JINSI.
 
Back
Top Bottom